washauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

    Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain...
  2. benzemah

    Wachumi Washauri Kariakoo uwe Mkoa maalum wa kibiashara

    Wataalamu wa uchumi wameshauri eneo la Kariakoo, Dares Salaam liwe mkoa maalumu wa kibiashara na pia mamlaka za serikali zinazohusika na biashara ziwe na mifumo inayosomana ili kuepuka migomo ya wafanyabiashara kwenye eneo hilo. Walisema serikali inapaswa kuipa Kariakoo hadhi ya kuwa Mkoa...
  3. Dasizo

    Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?

    Una washauri nini wanaofutilia maisha yako?
  4. MakinikiA

    Bado siamini kama taasisi ya ikulu kuna washauri

    Mfumo wa Tanzania ni ule wa zidumu fikra za mwenyekiti bado unatumika mpaka sasa,ndio maana MTU anateua then anatengua ,ni kama mwanafunzi ambae daftari lake utakuta uchafu wa kufutafuta . Kiongozi lazima ujue maeneo yako ya mkakati machache na uyaweke chini ya watu maalumu na wajulikane...
  5. BARD AI

    Wadau washauri Vyombo vya habari viwe na Dawati la Jinsia kukabili rushwa ya ngono

    Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
  6. G-Mdadisi

    Wadau Pemba washauri Sheria Kali kwa WABAKAJI. "Anayebaka Ahasiwe"

    PEMBA, ZANZIBAR JAMII imeshauriwa kuacha muhali na badala yake waripoti kwa wakati matukio ya udhalilishaji yanapotokea kwa lengo la kutoa fursa kwa vyombo vya sheria kutekeleza wajibu wake na kuchukua hatua za haraka dhidi ya watuhumiwa wa vitendo hivyo. Hayo yametolewa na wadau wa kupinga...
  7. L

    Taasisi za washauri bingwa wa China na Afrika ni muhimu katika kutoa mapendekezo ya maeneo ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kuanzia tarehe 20 -21 Mwezi Julai, Mkutano wa 11 wa jumuiya za washauri bingwa kati ya China na Afrika ulifanyika hapa Beijing. Mkutano huo uliwakutanisha mabalozi, maofisa waandamizi wastaafu, maprofesa wa vyuo na taasisi za utafiti wa mambo ya Afrika za China na nchi za Afrika, pamoja na...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Nilitegemea kipindi kama hiki viongozi washauri baadhi ya Watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari

    Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari. Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo hutumiwa kama mbadala wa petroli kwenye magari. Vilevile hutumiwa kama mbadala wa dizeli pia. Mfano...
  9. JanguKamaJangu

    Marekani: Washauri waoga wanampotosha Rais Putin

    Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa. Uingereza imesema kuwa vikosi vya Urusi vilivyopo Ukraine vinazidi kupata tabu, na wanaamini Rais...
  10. K

    Wapinzani ni washauri sahihi wa serikali, walimshauri Rais avunje baraza tukawapinga; naamini wanatonywa mengi

    Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani wanataka kumtisha Mhe. Rais akose utulivu Wakasambaza taarifa za sukuma Gang nikaona wanaanza...
  11. technically

    Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
  12. P

    Mheshimiwa Rais kuongelea mno jinsia yake pengine ni kukosa washauri wa dhati na wa maana

    Mwanzoni nilidhania ni suala la muda tu kwa Rais Samia kuongelea 'uanamke' wake. Nilidhani ni sehemu ya udhaifu wake kuzungumzia wanawake ni kunyanyasika kwao, nikaona ni suala la muda tu atakuja kuachana na udhaifu huu wenye ukakasi masikioni mwa watu haswa wanaume. Ikaja hotuba ya pili, ikaja...
  13. Memento

    Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

    Madaktari wameishauri Serikali chanjo ya Corona iwe lazima. Si jambo baya na wapo sahihi kwa kuwa wao ni wataalamu. Serikali haipaswi kukataa ushauri wowote wa wataalamu kwa maana mambo yakienda ndivyo sivyo watakuwa hawana wa kumwajibisha. Hivyo ushauri uzingatiwe pia. Na mimi binafsi Sina...
  14. Nyani Ngabu

    Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

    Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya. Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake! Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia...
  15. MSAGA SUMU

    Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

    Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
  16. Saint Ivuga

    Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

    Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
  17. Msanii

    Rais Samia Suluhu, stuka kabla hawajakuingiza mkenge

    Mwaka 2015 niliandika maoni yangu hapa JamiiForums kumshauri Hayati JPM mara baada ya kuapishwa kushika nafasi ya Urais wa Tanzania. Pamoja na kelele zinazopigwa hapa na pale lakini haiondoi ukweli kwamba wewe ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa...
  18. Kipenzi Changu

    Wanawake wengi wameshikiwa akili na washauri wa mitandaoni?

    Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah. Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...
Back
Top Bottom