Marekani: Washauri waoga wanampotosha Rais Putin

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa.

Uingereza imesema kuwa vikosi vya Urusi vilivyopo Ukraine vinazidi kupata tabu, na wanaamini Rais Putin hajaambiwa madhara makubwa ya kuwekewa vikwazo

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Kate Bedingfield amesema vita hiyo itaifanya Urusi iwe dhaifu kwa muda mrefu na kutengwa kwa muda mrefu.

Source: BBC
Putin 22.jpg

================================

The US and UK say Putin is being misinformed by his advisers

Russian President Vladimir Putin is being misled by advisers who are too scared to tell him how badly the war in Ukraine is going, the White House says.

Meanwhile British intelligence says Russian troops in Ukraine are demoralised, short of equipment and refusing to carry out orders.

Mr Putin is also not being told about the full impact of sanctions on the Russian economy, the White House said.

The Kremlin has not yet commented on the assessments.

White House spokesperson Kate Bedingfield said the US had information that Mr Putin "felt misled by the Russian military" and this had resulted in "persistent tension between Putin and his military leadership".

"Putin's war has been a strategic blunder that has left Russia weaker over the long term and increasingly isolated on the world stage," she said.

Pentagon spokesman John Kirby called the assessments "discomforting" because an uninformed Putin could result in a "less than faithful" effort at ending the conflict through peace negotiations.

"The other thing is, you don't know how a leader like that is going to react to getting bad news," he said.

Ukrainian forces have begun attempts to retake some areas from Russia, which on Tuesday said it would scale back operations around Kyiv and the northern city of Chernihiv.

Jeremy Fleming, the head of the UK's cyber-intelligence agency GCHQ, said the move added to indications Russia had "massively misjudged the situation" and had been forced to "significantly rethink".

"We've seen Russian soldiers - short of weapons and morale - refusing to carry out orders, sabotaging their own equipment and even accidentally shooting down their own aircraft," Mr Fleming said in a speech to the Australian National University in Canberra.

"And even though Putin's advisers are afraid to tell him the truth, what's going on and the extent of these misjudgements must be crystal clear to the regime."

On the ground, US and Ukrainian officials say Russia is continuing to reposition forces away from Kyiv, probably as part of its effort to refocus on eastern regions.
 
Haya maneno yote yame kuja baada ya Ukraine kukubaliana na baadhi ya matakwa ya Urusi.
Inavyo onesha Uingeleza na Marekani hawa taki vita hii ihishe.

Kuna watu walisema ilionekana chadema hawakutaka Mbowe aachiliwe haijulikani hata walipotelea wapi
 
Waweka vikwazo wanamuambia muwekwa vikwazo juu ya madhara ya vikwazo walivyoviweka, amazing...!!!
foleni ya kununua kilo 2 za sukari kule russia kwa raia wao ni kubwa sana, haya ndio madhara yenyewe yawezekana Putini hana habari, bei ya sukari imeongezeka 37%, wananchi wamelazimika hata ivyo kupanga mafoleni ili kuweka akiba maana baada ya miezi 4 hivi nchi itakuwa kavu kwa maana kavu labda kama somalia
 
Haya maneno yote yame kuja baada ya Ukraine kukubaliana na baadhi ya matakwa ya Urusi.
Inavyo onesha Uingeleza na Marekani hawa taki vita hii ihishe.
Huelewi chochote upo tu kwenye mkumbo, yale mazungumzo kule Uturuki Russia ndio waliyataka na hakuna muelekeo hadi sasa wa makubaliano labda nikupe habari tu Zelensky ametangaza kujiandaa na mashambuliz Donabas na sio Kyiv tena, Kyiv watoto wameshaanza kurudi shule
 
foleni ya kununua kilo 2 za sukari kule russia kwa raia wao ni kubwa sana, haya ndio madhara yenyewe yawezekana Putini hana habari, bei ya sukari imeongezeka 37%, wananchi wamelazimika hata ivyo kupanga mafoleni ili kuweka akiba maana baada ya miezi 4 hivi nchi itakuwa kavu kwa maana kavu labda kama somalia

BBC Na CNN ni sumu
 
Silaha ni zake anahaki kutumia atakavyo kama marekani inavyotumia za kwake, russia inalinda mipaka na masrahi ya taifa lake zidi ya ushetani wa nato,

Povu la kutosha kuliko Putin au warusi na bado waona uko vizuri?
 
foleni ya kununua kilo 2 za sukari kule russia kwa raia wao ni kubwa sana, haya ndio madhara yenyewe yawezekana Putini hana habari, bei ya sukari imeongezeka 37%, wananchi wamelazimika hata ivyo kupanga mafoleni ili kuweka akiba maana baada ya miezi 4 hivi nchi itakuwa kavu kwa maana kavu labda kama somalia
Weka na bei ya mafuta Marekani, Uingereza, Ufaransa halafu pia weka bei ya gas Ujeruman, Spain nk; Muweka vikwazo anamuoneaje huruma aliyemuwekea vikwazo? Mbona mambo mengine hayahitaji akili kubwa kuyaelewa? Waliwahi kumuwekea vikwazo vya kiuchumi Iraq, Iran, North Korea nk, lini uliwahi kusikia wakiwaonea huruma raia wa hizo nchi?
 
Back
Top Bottom