wasanii

  1. vibertz

    JamiiForums Tanzania Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

    Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini. Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sanaa na wasanii: Je wasanii wetu bado ni kioo cha jamii?

    “Mimi ni msanii, mimi ni msanii, Kioo cha jamii, kioo cha jamii, Mimi naona mbali, mimi naona mbali, Kwa darubini kali, kwa darubini kali.” Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi hizo nilikuwa nasoma pale Shule ya Msingi Zanaki, Kata ya Upanga Mashariki. Wimbo huu uliimbwa na...
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania Yanga Staff vs Wasanii; Huyu Golikipa H. Kidiaba JR anaujua. Anatokea wapi?

    Kwema Wakuu? Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...
  4. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa wasanii wa Reggae nchini

    Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau. Masela reggae inakufa na mmetulia tu. Wako wapi wazee wa Reggae 1. Innocent Galinoma, 2. Justine Kalikawe, 3.
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu. Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
  6. Kichangiri

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya maneno tata ya wasanii wa Singeli sio sawa

    Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa. Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli? Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
  7. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupitia wasanii wa sasa, je tunaenda kutengeneza kizazi cha aina gani hapo baadae na nani awajibike?

     UTANGULIZI Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha. Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Top 5 Wasanii bora wa kuimba wa muda wote Tanzania

    Moja kwa moja kwenye mada. 5. Matonya Kwenye ubora wake huu jamaa alikuwa moto, msikie kwenye nyimbo kama Tax bubu, Vailet, Dunia mapito n.k nadhan wasanii wa sasa wana kitu cha kujifunza kwake. 4. Jay dee Msikilize kwenye nyimbo Mawazo, na nyingine kibao 3. Q chilla Msikilize kwenye nyimbo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni moja: Shindano Nyimbo za Hamasa Katiba Mpya kwa wasanii chipukizi na Kongwe

    Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila. Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya. Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ikatokea wanagawa tuzo kwa wasanii / watangazaji bora. Ungempendekeza yupi?

    Ungempendekeza msanii yupi wa bongo flaver, hip hop au muziki wa injili? Pia presenter (mtangazaji), mwanamitindo, msimulizi, muigizaji ama mchekeshaji yupi?
  11. beatboi

    JamiiForums Tanzania Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  12. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Nimependa ubunifu wa video hii na uhalisia wa wasanii hawa.. 100%

    Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virefu vya majina ya wasanii

    VIREFU VYA MAJINA 1. K.R. _ KAKA RASHID 2. J.O.S.E.P.H. - JIFUNZE, ONA, SEMA, ELIMIKA, PITIA, HAMASIKA 3. LANGA - LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN 4. RAF MC - REALITY AND FEELING MC 5. BINAMU - BILA IMANI NA AKILI MAISHANI UTAFELI 6. MAFIA - MSANII AMBAYE FANI IMELALA ASILIA 7. MAWENGE -...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Diamond na Davido wametajwa kuwa wasanii walioongoza kutafutwa na kumzungumzia kwa 2023

    Hivi karibuni kumetoka report ya google kuwa msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz na Davido kutoka Nigeria ndio Wasanii walioongoza kufuatiliwa na kuzungumziwa kwa mwaka Huu kwa barani Africa.
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Tuanze na Wasanii maana asilimia kubwa yao wanapotosha Jamii na serikali inatoa macho

    Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa. Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi. Serikali mbali na kuweka wizara ya...
  16. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania BASATA mnakula hela za wasanii bure, hakuna mnachokifanya

    Baraza la sanaa Tanzania sijaona kazi yenu kama madudu ndo haya mnamefeli. Jaribu kujipanga upya. Diamondplatnumz ,alikataa kushiriki tuzo zenu afu mkampa tuzo ya heshima😁 mko sawa na utendaji kazi wenu kweli. Umeandaa Tuzo za (TMA) ila kinachoendelea mnakijua nyie sijui mmelogwa au nini...
  17. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

    Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023. 1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9) 2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Roma, Wakazi na Linex ni mfano wa watu waliopishana na vipaji vyao!

    Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki. 1. Roma Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma twitter nakiona. Mshikaji ni content creator wa level kubwa sana alafu ni ile natural sio wa darasani...
  19. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

    Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa...
Back
Top Bottom