Naandika huu uzi baada ya kumsoma kamikaze kwenye uzi wake: Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, Nini tunajifunza!
If anything wasanii wabongo inabidi walalamikie ufinyu wa watanzania wengine nje ya nchi hususani in the boardrooms.
Nigerians wapo wengi ndani na nje ya nchi yao. Unaposikia...
• WemaSepetu
• Aunt Ezekiel
• Nandy
• Lulu diva
• Amber lulu
• Amber Ruty
• Gigy money
• Divadeboss
• Jackline Wolper
• .......
📌 Msanii ni kioo cha jamii, ila sio kwa sanaa ya kipindi hichi aisee. Asilimia kubwa wasanii wengi wanapotosha jamii na kwakuwa wao ni maarufu ndo kizazi kinazidi...
Huyu amepewa uwaziri na Mama Samia naona watu wengi wameipokea hii habari kama ni habari njema kwenye michezo sanaa na burudani.
Kwa tunaomjua Mwana FA hapa hakuna kitu kipya atafanya kusaidia wasanii na wanamichezo. Huyu i mbinafsi, ana roho mbaya, anaringa ile kuringa sio kitoto, ana dharau...
Wakuu hii shoo ya badgirl Riri ni noma kwanza mipangilio imepangika mavazi, madensa sound, lights.
Yaan ni noma shoo imetulia ina ladha huumii masikio na wala huchoki tazama. Wasanii badilikeni sio kutupigia kelele stejini.
Kushoto kulia mara washa light ya simu yako Mara tuimbe woote hata...
Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu,
App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka.
Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho?
Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa.
Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
Ujumbe wa Mbunge wa Muheza, Tanga na msanii MwanaFA akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni Mohamed Mchengerwa kuhusu suala la mfuko wa utamaduni na sanaa ya Tanzania.
Sanaa imeajiri watu wengi kuna familia zinakula...
Leo nikiwa kwenye daladala nimeshangaa kila ngoma zinazopigwa zipo muelekeo na miondoko ya Nitongoze ya Diamond na Kwani tsh ngapi/ Huna hela ya Vannyboy , inaonekana baada ya izo ngoma kuhit kila msanii sa hivi anataka kutoa ngoma zenye mwelekeo huo , ina maana ubunifu hawana wamebaki kama...
Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde.
Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...
Wadau wa bongo fleva,
Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake mpya. Nimegundua dogo kazi anaweza.
Mojawapo ya nyimbo yake iitwayo lonely aliyoshirikiana na Abba...
Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.
Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.
Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala...
Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu....
Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale.
The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it...
Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa.
Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Gerald Kusaya amewaonya Wasanii wa Tanzania wanaotunga nyimbo za kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi na kusema hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa Wasanii hao.
Akiongea na Waandishi wa Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.