Habarini za muda huu wakuu.
Natumai mu wazima wa afya. Kijana wenu nimejitupa jamvini leo nikiwa nahitaji tujadili kidogo namna sanaa ya nchi yetu inavyokwenda. Kijana wenu nilijaaliwa kusoma fasihi ya Kiswahili na sanaa kwa uchache sana. Aidha, katika harakati hizo za kusoma fasihi...
Uongozi wa WCB chini ya Diamond ni moja kati ya lebo inayowanyanyasa na kuwanyonya wasanii wake na kuwasainisha mikataba ya kina Chief Mangungo isiyokuwa na haki na iliyojaa unyonyaji wa kupita kiasi.
Ni hawa hawa waliokuwa wanailalamikia clouds kupitia na wakurugenzi wao kuwa ni wanyonyaji...
Napenda kuchukua nafasi hii hapa jamvini, kuwashauri wasaniii wafuatao warudi katika mstari waache tabia hiyo. Sitaki kusema ni tabia gani lakini hii list mtu akisoma atajua ni tabia gani wanafanya. Hii itawakosti siku moja wasipoacha.
List ni hii:
1. TID
2. Daz Baba
3. Squezer
4. Chid Benzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.