Shetani anawaambia wasanii wanaotaka kutoka kimaisha wamsujudie, wakikubali anawapa pesa na umaarufu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,714
36,174
Habari za asubuhi!

Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake.

Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na utakapogundua kuwa si malaika tayari ameshakupa huo umaarufu kazi itakayobaki ni wewe tu kutimiza matakwa yake kama yeye alivyokuwa mwaminifu kwako.

Sharti kubwa analogawa sasa ni la kushiriki mapenzi na mwanaume au mwanamke mwenzako. Yaani ushoga na usagaji.

Wasanii wengi maarufu wamepewa umaarufu na Ibilisi ndio maana wanafika hatua hata kuuficha ushoga uliopo ndani yao hawawezi. Wanavaa mavazi na kujipamba na mapambo ambayo hawastahili.

Hivi umewahi kujiuliza msanii wa kiume asipovaa hereni, asiposuka nywele au kuweka mapambo ya kike mwilini mwake hatapendwa na hadhira?

Screenshot_20230904-081051.jpg
 
Uko biased na subjective, dunia na vyote vilivyomo Ni Mali ya Mungu. So Hakuna wanaofika kileleni Cha umaarufu na pesa bila ya shetani ama unatafuta reasoning ya kujitetea kisa tu umevikosa.

Yaani dhahabu,na madini yote ,pesa zote za central, commercial and private sectors ni za Muumbaji, malaika na shetani wote waliumbwa na Muumbaji so what then.
 
Skia kuwa msanii, kutana na huyo shetani, 😂😂afu umrecord, afu utuambie 😂usituletee story, ukitoka hapa katafute huo mlima mrefu aliyopanda Yesu akaona falme zote sijui as if dunia ni flat na ni Israel tu..,😂😂😂afu record pia na utuletee...😂😂😂acha wivu wa maendeleo utakufa maskini, tafuta hela. Kila mwenye hela unamwita maskini ..afu hela zako unampelekea mwamposa sijui kina nani.
 
Uko biased na subjective,dunia na vyote vilivyomo Ni Mali ya Mungu,
So Hakuna wanaofika kileleni Cha umaarufu na pesa bila ya shetani ama unatafuta reasoning ya kujitetea kisa tu umevikosa.
Yaani dhahabu,na madini yote ,pesa zote za central , commercial and private sectors Ni za Muumbaji, malaika na shetani wote waliumbwa na Muumbaji so what then
Achana nae maskini tu huyo
 
Nafkiri wamepewa hiyo kazi ya kuaibishana ME kwa ME na KE kwa KE.
Ukimwona amevaa hereni huyo tayari. Na vijana wajinga wanaiga matendo ya kishoga kwakuwa msanii maarufu kasuka naye anasuka.
Akivaa vibrauzi nayeye anavaa finally naye anaanza kuwashwa makalioni anaitamani mashine imfokoe
 
Nyege zinazopuuza ubongo + tamaa ndo huleta mapenzi ya jinsia moja na biashara ya ngono.

Yaani watu wawili mmoja akiwa na nyege na hana akili na mwingine akiwa na tamaa ndo mimba ya huu upuuzi inatungwa na kuzaliwa.
 
Habari za asubuhi!

Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake.

Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na utakapogundua kuwa si malaika tayari ameshakupa huo umaarufu kazi itakayobaki ni wewe tu kutimiza matakwa yake kama yeye alivyokuwa mwaminifu kwako.

Sharti kubwa analogawa sasa ni la kushiriki mapenzi na mwanaume au mwanamke mwenzako. Yaani ushoga na usagaji.

Wasanii wengi maarufu wamepewa umaarufu na Ibilisi ndio maana wanafika hatua hata kuuficha ushoga uliopo ndani yao hawawezi. Wanavaa mavazi na kujipamba na mapambo ambayo hawastahili.

Hivi umewahi kujiuliza msanii wa kiume asipovaa hereni, asiposuka nywele au kuweka mapambo ya kike mwilini mwake hatapendwa na hadhira?

View attachment 2738326
Aisee, hichi unachosema hakina tofauti na msemo unaosema "Money does not make you happy". Ila nakataa kwa silimia kubwa sana. Conspiracy theory zimetumika kwa kiasi kikubwa kufanya watu waogope kupata mafanikio kama ilivyo katika jamii zetu kuwa matajiri ni washirikina au wanafanya biashara za magendo.
 
Habari za asubuhi!

Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake.

Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na utakapogundua kuwa si malaika tayari ameshakupa huo umaarufu kazi itakayobaki ni wewe tu kutimiza matakwa yake kama yeye alivyokuwa mwaminifu kwako.

Sharti kubwa analogawa sasa ni la kushiriki mapenzi na mwanaume au mwanamke mwenzako. Yaani ushoga na usagaji.

Wasanii wengi maarufu wamepewa umaarufu na Ibilisi ndio maana wanafika hatua hata kuuficha ushoga uliopo ndani yao hawawezi. Wanavaa mavazi na kujipamba na mapambo ambayo hawastahili.

Hivi umewahi kujiuliza msanii wa kiume asipovaa hereni, asiposuka nywele au kuweka mapambo ya kike mwilini mwake hatapendwa na hadhira?

View attachment 2738326
Akili za waamini Mungu mara nyingi huogopa/kuhofia watu walio matajiri sana.

Kama hawajamsema ni freemason..

Hiyo ni code kwenye akili yao.

Wengine wanautamani umaskini kwamaana matajiri ni ngumu kwenda mbinguni ukilinganisha maskini.
 
Back
Top Bottom