Nimependa ubunifu wa video hii na uhalisia wa wasanii hawa.. 100%

Mcanada

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
982
1,904
Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits zangu kwa wote walioshiriki kuiandaa project hii na natoa pongezi kwa wasanii hawa, producer wa huu wimbo na director wa hii video.. yaani mmetisha sana.. nipo na mchepuko wangu wa kizungu hapa sio siri kaipenda sana hii nyimbo.. tuwasapoti hawa vijana wachanga kwenye muziki wana vitu halisi sana..
 
Huko Finland hamjambo!?
 
Embu tuma picha ya pisi moja ya Finland nione ugonjwa wangu
giano-currie-5-9YOsmf8IQ.jpg
 
Back
Top Bottom