Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

beatboi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
457
1,125
Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.

Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,

*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge
*Kado kitengo
*Wakazi
*Dizasta vina
Nk.
hawa ni wanaofanya vizuri kwa sasa,
Wapo vijana wengi wamepitia TM kupigwa msasa na matumaini yangu tutaendelea kuwaona wakiibuka wengine
 
Nafikiri anaefanya vizuri hapo ni Kontawa wengine hao bado hawajatoboa. So Tamaduni music tuseme ni failure project.
 
Hicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao

Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world

Itaendelea
 
Una hoja nzito usikilizwe.
 
wakazi nae anafanya vizuri anayeufahamu wimbo wake wowote replu me please
 
Hicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao

Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world

Itaendelea
Sawa nyie mziki wenu unao support tumekusikia

Ova
 
Hicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao

Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world

Itaendelea
Tatizo muziki wa HipHop bongo umekosa nguvu kitu kilichopelekea uwekezaji kwenye muziki huo uwe wa kusuasua ndio maana quality ya productions za audio na video ziko low kulinganisha na wabana pua.

Wengi bado wana mentality kuwa hip hop ni uhuni hawataki kujiassociate kwenye muziki huo.

Ila kwa ujumla hip hop ni muziki mzuri sana wasanii wake wanastahili kuwa na mafanikio kutokana na wanachokifanya but bad luck wanafanya kitu kizuri kwa audience ambayo haipo tayari kupokea vitu vizuri.
 
Hicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao

Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world

Itaendelea
huwafahamu tamaduni wewe, acha kusikiliza habari za vijiweni
 
Nafikiri anaefanya vizuri hapo ni Kontawa wengine hao bado hawajatoboa. So Tamaduni music tuseme ni failure project.
Hapo nawakubali watu tu ambao ni DIZASTA VINA, CADO NONDO NA TOXIC.. huyo kontawa hata aimbe na shetani hanishawishi kivyovyote.

NB: kwa upande wangu lakini
 
Ila P the Mc Baadaye Pmawenge(Mwingi wa habari)+ DIZASTA(panorama) watoe hapo ni moja ya anzilishi wa movement TAMADUNI MUZIKI nasio zao tafadhali
 
Back
Top Bottom