wasanii

  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania D Voice ndio future ya muziki wa bongo: Wasanii wa kibongo kazini kwao kuna kazi

    Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi. Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy. Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Mtayarishaji maarufu wa muziki nchini Tanzania ambaye pia ni mchambuzi wa muziki kupitia show ya Bongo Star Search, ndugu Joakim Kimaro, maarufu kama Master J, amekiri kuwa 99% ya wasanii hapa nchini wanatumia bangi ndio maana wanapenda kuimba nyimbo zinazohamasisha ngono, uhalifu na matumizi ya...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania DCEA: Tuna orodha ya Wasanii wanaotumia Dawa za Kulevya, kupimwa wote

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amewataka Wasanii wanaovuta bangi na unga kujirekebisha na kuacha mara moja kwakuwa orodha ya wote wanaovuta anayo na kwamba Mamlaka hiyo inakamilisha ujenzi wa Maabara mpya ya Ukaguzi na Sayansi Jinai...
  4. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu

    Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas. Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene. Pia soma: 1. Whozu, Mbosso...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Michael Jackson aendelea kuongoza list ya Wasanii waliofariki na wanaingiza Fedha nyingi

    Kwa mujibu wa Forbes, Michael Jackson (MJ) ameingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 285 akiwatangulia nyota wengine kama Prince, Whitney Houston na Bob Marley MJ alifariki mwaka 2009 akiwa na miaka 50 kwa kilichoelezwa kuwa ni kuzidisha Dawa za Kumsaidia kupunguza Maumivu. === Being dead isn’t the gig it...
  6. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Wasanii 8 Kutoka Bongo Waliozaliwa Kuanzia Mwaka 2000 Kwenda Juu

    Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao 1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003 Label : Rockstar Africa 2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002 Label : The African Princess 3. Bruce Africa - March, 2000 Label : I AM Music 4. Cherry - July, 2000 Label : Bxtra Records 5. Anjella...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wasanii Kilimanjaro wavutiwa na uteuzi wa Jokate Mwegelo UWT, warudisha kadi za upinzani

    WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi kwenda kimataifa? Jifunzeni kwa Diamond Platinum

    Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie". Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana nyimbo nzuri mpaka 2014 alipopata collabo kubwa ya kimataifa na Davido kwa wimbo wake "number one...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wasanii zaidi ya 2000 Uingereza wasaini waraka kuilaani Israel

    Wasanii wa kada zote nchini Uiengereza wanaozidi elfu mbili wamesaini waraka kuonesha kukerwa kwao na ukatili wa Israel kwa wapalestina. Wasanii hao ni pamoja na Tilda Swinton, Steve Coogan, Charles Dance and Maxine Peake.Katika waraka wao huo wamesema wanaitaka Israel isitishe unyama wake mara...
  10. Perfectz

    JamiiForums Tanzania Nazitafuta hizi album za kwanza kwanza za wasanii hawa

    Ni muziki wa kati ya miaka 2000 hadi 2010 hivi. Nazitafuta albums z wasanii hawa chini hasa albums zao z kwanza kabisa 1.RAY C 2.Q-CHIEF 3.BANANA ZORRO 4.LADY JAYDEE 5.MB DOGGY ILE YA MAPENZI KITU GANI NZIMA 6.MR NICE ZOTE HATA KAMA UNAZO ZINGINE ZA ZAMANI SIO MBAYA UKA SHARE PIA.
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Weka hapa msanii alieweza kupata umaarufu nchini akiwa bado yupo mkoani

    Wasanii wengi wanaofanya kazi zao mikoani huwa wanaishia kutamba hukohuko mikoani lakini wapo wachache ambao walivuka boda na kupata umaarufu nchi nzima. Uzi huu tuwataje wasanii waliofanya kazi zao mikoani lakini zikahit na kuwatambulisha nchini. Marlaw - Iringa Marlaw baada ya kumaliza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  14. Leak

    JamiiForums Tanzania Msanii Ray Vanny ni mmoja ya Wasanii wasiotumia akili kabisa!

    Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival! Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata kushinda Diamond mwenyewe na amekuwa akiwahamasisha wengi kufanya uwekezaji! Lakini mara nyingi inasemwa...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wasanii watoa wimbo wa Kukemea matendo Maovu ya Polisi. Wamvaa RCO Andrew Kantimbo

    Tuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu. Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu. Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

    Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva. Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye. Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu. Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure. Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa...
  17. bahati93

    JamiiForums Tanzania Couple hizi zitavunjika

    Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Shetani anawaambia wasanii wanaotaka kutoka kimaisha wamsujudie, wakikubali anawapa pesa na umaarufu

    Habari za asubuhi! Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake. Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Michango kwenye misiba ya wasanii inatoa somo zito kwa serikali na wasanii

    Wakuu tangu jana baada ya kusoma taarifa za kuugua kwa msanii Haitham Kim (R.I.P) na bahati mbaya leo kufariki nimejikuta nikitafakari sana mambo mengi. Nimejitafakari mimi binafsi, familia yangu, wasanii na watanzania wote kwa ujumla kuhusu ishu za afya na kujikuta nikisononeka. Ila wakati...
  20. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

    KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics 𝐓𝐀𝐅𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐒𝐖𝐀𝐇𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐏𝐎 Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki ᴍʙᴏɢɪ = ᴋᴜɴᴅɪ, ᴍꜰᴀɴᴏ ᴡᴀɴᴀᴏᴢᴜɴɢᴜᴍᴢɪᴡᴀ ʜᴜᴍᴜ Wakiona OG amejam, zogo! ᴡᴀᴍᴇᴀᴏɴᴀ ɴᴀᴡᴀᴘᴀ ᴍᴀᴋᴀᴠᴜ, ᴡᴀᴍᴇᴀɴᴢᴀ ᴋᴇʟᴇʟᴇ Big rappers na mbona mnaplans ndogo? Na sitafuti kiki...
Back
Top Bottom