wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikijitahidi kuzikemea ndoto zangu lakini wapi! 2025 CCM watanyukana ngumi!

    Shalomu Tanzania! Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama kuteswa na wanaojiita CCM, basi tutakuwa na kila sababu ya kufanya sherehe anguko hili tukufu la wana...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

    Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani. Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7. Wakati...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwani polisi wanafeli wapi mpaka tuanze kulipa hela ya sungu sungu

    Nagongewa mlango kufungua wadau wanataka Hela ya ulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu,na juzi wakati narudi usiku waliwweka limiti ya mtu kutembea usiku,hii SI sawa ,polisi wafanye majukumu Yao, ninalipa Kodi, haiwezekani kwenye nchi ambayo tunalipa Kodi zetu washindwe kudumisha usalama wetu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unique Sisters wako wapi siku hizi?

    Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini? Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan. Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku...
  5. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

    Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan. Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtu anapata wapi ujasiri wa kumchinja binadamu mwenzake kama kuku?

  7. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi watu wanapataga wapi ujasiri wa kuiba Mali (Fedha) za umma?. Mimi siwezi hata kuiba TSh 50/=, Not to mention billions of Tanzanians

    Thread was deleted
  9. JamiiForums Tanzania Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

    Naam, Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa. Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, wanaume mnafeli wapi? Ona wanaume acheni kuwa dhaifu

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiachilia mbali umasikini /ufukara wa wazazi wetu ilishawahi kujiuliza unakwama wapi?

    Umasikini si ukilema ila ni hali ya kukosa mambo muhimu ambayo mtu unayahitaji katika maisha yako ya kila siku ,japo wapo watu wanajaribu kusema masikini ni kilema ila anaekosa hayo mambo muhimu anaitwa fukara,siwezi kubisha ila mtazamo wangu umependa kuamini nivyoamini. Nimeona kwa asilimia...
  12. JamiiForums Tanzania Starlet zimeishia wapi na kwanini wakati ipo economy?

    Ndg wana izengo habari za wakati huu. Katika kuyaanza maisha wengi walianza na starlet kijichuma kidogo dogo very economy. Hivi vimeishia wapi? Wengi walioanza na usafiri mara baada ya kuhitimu na kukwaa ajira walikamata hivi vidude, nilikuwa nikiwaza kwa nn wajuba wanachukua vibati hivi...
  13. JamiiForums Tanzania 2006 Ulikuwa wapi

    2006 ulikuwa wapi? Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
  14. JamiiForums Tanzania Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  15. JamiiForums Tanzania BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  16. JamiiForums Tanzania Msanii 20% amepotelea wapi?

    Ni msanii mwenye kipaji kikubwa mno. Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kali kama: 1. Mama Neema 2. Binti kimanzi ft Bushoke 3. Ya nini malumbano 4. Tamaa mbaya nk.
  17. JamiiForums Tanzania Ni wapi mwanachuo huyu atapata msaada kwa uzembee huu wa Mwalimu?

    Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa...
  18. JamiiForums Tanzania Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

    Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mchoma mahindi yupo wapi?

    Huyu mchoma Mahindi mwenye bunduki anapatikana kijiwe gani? Niko njiani naenda Dodoma nataka nimpitie aniuzie muhindi choma moja. Zicomedy Show
  20. JamiiForums Tanzania Mlionidhihaki na Kutoniamini niliposema akina Kapombe na Hussein watarudishwa Taifa Stars Timu ikirejea kutoka Misri mpo wapi?

    Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa kama nilivyosema na wako Kikosini ( Kambini ) sasa. Jamani sikutwaa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…