wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Simu inaita ila sijui iko wapi- msaada

    Habari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata? maeneo nayafahau ila sijui exact place
  2. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Nguo aina hii zinapatikana wapi

    Habari wana jamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali iko wapi? Wananchi wanaibiwa kila kona

    Angalieni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uharamu wa vitu hivi uko wapi?

    Kwanza kabisa ningependa niwasalimu kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi huku lengo kubwa likiwa ni kupashana habari mbalimbali na kubadilishana mawazo yanayoweza kutufungua na kuleta tija zaidi kwenye jamii inayotuzunguka. Kwanza kabisa ningependa...
  5. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mnapata wapi wapenzi?

    Salaaam vijana wenzangu. Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja? Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

    Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa. Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa. Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
  7. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua, ugumu wa kupeana connection za kazi unatoka wapi

    Naomba kujua ugumu unatoka wapi kwa mtoto wa kiume kupewa connection ya kazi na mwanaume mwezie? Ila kwa mtoto wakike sio ngumu hii kwangu sio sawa kabisa
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Hela ya Urusi iliyotaifishwa kutumika Ukraine, hivi Putin hadi aguswe wapi ndio afanye kweli

    Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule... =================== Attorney General Merrick Garland said Friday that he had authorized the United States to begin using seized Russian money to aid Ukraine, according...
  10. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi hivi vitu?

    Naombeni msaada wenu wadau kuna mdogo wangu anahitaji hivi vifaa.... Plates za mazoezi zinazotengenezwa na vijana wetu wa hapa hapa bongo. Huwa uzito kwa plate moja ni kg 10-15. Hata kama zimetumika haina shida. Tuwasiliane please.
  11. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi solar panels orginal ambazo zinaweza kusukuma pump ya maji kwa wingi na je zinaweza kuwa pannel ngapi na zitakuwa na gharama kiasi gani?

    Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani. Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yuko wapi mjadala wa kitaifa wa Mfumko wa Bei na majibu ya Mwigulu?

    Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali. Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi...
  13. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata deodorant za FA kwa Morogoro?

    Hapa sinzungumzii bidhaa za yule msanii mwana FA la hasha bali ni za ile chapa ya FA, wanakuwa na deodorant nzuri sana. Mimi huwa napenda hasa ile imetengenezwa kwa watermelon. Sasa nmejaribu kutafuta sana naona ni kama sasa hivi zimekuwa adimu madukani. Msaada ni wapi nitapata, nipo Morogoro.
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

    Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani? Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  16. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
  17. Black Label

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Mashine za kunyolea za WAHL?

    Msaada - Wapi Dar napata mashine nzuri za kunyolea za WAHL?
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Hivi Tajiri Bill Lugano, yuko wapi?

    Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano. Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao. Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote...
  20. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika Haki za Binaadamu yakutanishwa na wahuni wa Arusha?

    WAKUU, Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati wanaotumika kulichafua taifa letu na kumchafua Rais Samia kuhusiana na masuala mbalimbali yenye tija kwa...
Back
Top Bottom