Nikumbushen: Show ya Wanamuziki wa Dansi wa DRC na Tanzania kusherehekea uhuru wao ni lini na wapi Dar?

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,959
3,308
nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo.

Nisiwachoshe.

maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit.

Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi hapa bongo kusherehekea uhuru wa DRC.

Mimi mpenzi wa eneo hili la rumba na sebene hadi na ndo wakat pekee sijutii uumbwaji wangu.

Anayejua ni lini na wapi na kiingilio ili nitenge bajet mapema ya kuijia Dar.

Pia nahitaji rafiki jinsia ya ke tusiyefahamiana kabsa na hana agenda za kimapenz niwe nae.

Thanks in advance.

je m'appelle osciller
 
Back
Top Bottom