Ufanisi wa Nchi katika mambo mbalimbali huamua taifa liwe wapi kwa kesho yake

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,215
56,855
Moja kati ya sekta nyeti katika taifa ni ile tunaita "think tank".

Sijajua kwa taifa letu watu hawa wanatoka angle ipi,ni aidha ni watu wa sili sana ama wanatoka mbele ya vyombo tunavyoviona ama vile vinavyojihusisha na mambo ya intelijensia!.

Sipo hapa kujadili wanatoka wapi!, nipo hapa kujadili kazi yao maana mara nyingi hawa matokeo yao huonekana hata wao wasipoonekana!.

Ni wazi kabisa hawa watu ndio huwa na dira ya taifa, kazi yao ni kutoa mawazo makubwa na mapana ambayo aidha mara nyingi huwa ya siri sana,na mambo haya husimamiwa na vyombo vinavyojitambua ktk nchi!.

Kufaulu kwa watu hawa ndio kufaulu kwa nchi na Moja kati ya sifa za watu hawa ndio first class ya wazalendo ambayo inaangalia masirahi ya taifa ktk nyanja zote bila kujali kabila, dini, mahali au utu wa mtu bali taifa linatakiwa nini!.

Hawa ndio wale watu ambao hawaongozwi na tamaa za matumbo, ulafi wa mali, madaraka n.k.

Na ndio watu ambao usipowasikiliza mawazo yao lzm uangukie pua na pia wakiona hatari yoyote basi wanaweza kutumia chochote kuepusha hatari hiyo!..

Nini hofu yangu juu ya taifa langu?

Kusema kweli siioni mbele nzuri ya taifa letu haswa nikiangalia utendaji wa ukuaji wetu ktk sekta zile nyeti!.

Mpaka leo Kuna mambo ya ajabu ambayo yanatokea na sioni yakidhibitiwa vilivyo.. sawa sikatai taifa letu lipo vizuri sana ktk kutunza amani hapo tumefauli, lakini amani hii inatakiwa iwe na faida maana kusema tu unaamani na wakati mambo hayaendi kiufasaha jua unaitumia vibaya hiyo amani na huenda ikakutoweka!.

Sio andiko la matishio ni andiko la kengere tu.

Matofali kadhaa yakiwa mabovu yanaweza kufanya nyumba nzima ikaangua!.. nitagusia Kona kadhaa nyeti ambazo kwa jicho langu naona kama tunaingiza nyongo mbovu!.. twafahamu tunashida ya ajira nchini.

Huo ni wimbo Tena ni wimbo ambao unaweza kuchukuliwa kama masihara lkn ni tatizo na linahitaji ufumbuzi wa haraka sana maana naona zile Kuna baadhi ya sekta Zinakanyagwa!. Leo hii watu wanaingia jeshini sio kwasababu ya motisha ya kulitumikia taifa bali kujinasua kiuchumi!.

Watu wa namna hii wakijaa huko jeshini basi tumekwisha!.
Jeshi ni engine muhimu ktk nchi hakuna asiejua,sitaandika hatari zake ukitafakari tu utajua!.

Elimu yetu bado inajikongoja nawakati twafahamu umuhimu wa sekta hii ktk nyanja zote za nchi,Sina haja yakuandika elimu inazalisha watu gani bali Nina haja ya kuitaka jopo la utafakariji kufanya kitu juu ya elimu yetu,hasa ktk mitaala nafikiri Sasa hivi tutoke ktk elimu ya kukariri na tuje katika elimu ya uelewa.

Masirahi ya taifa yanvyokanyagwa!.. nimechoka kusikia hizi habari za mafisadi wanavyokula dodo na hawafanywi kitu!, tunatangaziwa ila hakuna hatua yoyote inayochukuliwa!

Hii haipo sawa mnauaribu umma kisaikolojia na kiuchumi pia niseme tu taifa halipo serious na watu wanaocheza nalo!.

Kwani idara nyeti na zile za sheria zinafanya nini? Hii ndio dira mliyoichagua? Hivi hamuoni haya usoni nyinyi?

Sasa mnasimamia nini kama mnaangalia tu? Mnajua matokeo ya haya ni nini?

Uchumi
Uchumi wetu kwa asilimia kubwa umeshikwa na watu ambao asili sio watanzania!, hata mseme ninaubaguzi potelea mbali ila ni hatari sana hichi kitu kwa tunaojua misuli ya uchumi inawezaje kuteteresha angle muhimu za nchi Sasa vipi kama uchumi haujashikwa na wazawa?

Ndani ya nyumba yako lazima utengeneze uchumi wa watu wako mwenyewe maana ndio haohao wanaoijenga kesho na leo ya taifa unaloliita lako.

Sidhani kama nchi yetu ipo serious na swala la ujasusi wa kiuchumi na ndio maana hata muda mwengine yanaingia mabidhaa ya hovyo, wafanyabiashara wanakutana na mambo ya hovyo, mazingira nayo badala yainue kipato bali yanakula kipato!.

Thinkers haya yote ni yakwenu!

Nafasi za madaraka kukanyagwa!.

Inakuaje hadi kwenye nafasi nyeti anateuliwa mtu asiestahiri? Je hamna vitengo vizuri vya vetting?

Mkijua mmeteua mtu wa hovyo nani anawajibika? Haya maswali kama hayana majibu kaeni mkijua ndio maanguko yenu!.

Nani kashikilia usukani wa maswala ya Imani ktk nchi hii?
Sasa twaona makanisa na mabango ya ulozi ktk Kila Kona ya nchi.. sidhani kama nastahiri kuwafundisha athari ya Imani ktk nchi nafikiri mwajua na hapa nikazie tu kwenye elimu. mkiwaelimisha watu wenu vyema Kuna mambo hamtasikia kamwe!

Naomba nihoji hivi yule wakujiita mchungaji kwenye mkutano wake walipokufa watu kadhaa nyinyi kama think tank wa taifa letu mlipata nini kichwani mwenu?

Hizi hadaa nyingi nyingi na za hovyo mnaziachaje ziumize chumi za watu wenu,ikiwa pamoja na uhai wa watu wenu?

Sioni haja ya kuwafundisha ila mnajua nini kiliwapata jamii ya watu wenye albinism japo Sasa yamepungua ila lawama itakaa kwenu kwa kuchelewa kwenu kudili ni bongo za watu wenu!.

Utamaduni wetu,mambo yetu yanakanyagwa na utandawazi sio kwamba hamuoni mnaona lkn mmeyaacha na sio kwamba hamuwezi kupambana mnaweza Tena vita bado changa, sitaandika mengi ila itoshe kusema hatuwataki hawa wanaume wanaojiita akina delicious!!!.

Kwa hayo machache tu naweza kusema kengere nimeshapiga ila mambo ni mengi na taifa linakanyagwa dira yake,na najua mengine ni baraka zenu aidha kwasababu fulanifulani ila hayo mambo hapo juu hayapo sawa kabisa na nyie ndio wakwanza kujua matatizo ya taifa hili tunataka tiba Sasa ili tujue tunataifa lenye dira na watu makini wanaojua nini maana ya utaifa.
 
Hapo kwenye hoja ya kwamba ,Kuna vijana wanaingia jeshini kwa ajili ya kujinasua kiuchumi liangaliwe kwa kina sana .. maana in long run wakijazana huko watu wa namna hiyo, ni rahisi baadhi Yao kuasi na kugeuka mamluki ,mwisho wa siku tunakuwa kama Sudan au nchi zile za magharibi ambazo Zina experience military coup mara kwa mara. Leo hii tunajinasibu tuna amani ,lakini vijana bado hawajatengenezewa suluhu ya kudumu kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi. Huko maofisini tu wamejaa watu wenye slogan "piga chako mapema" unatarajia Nini kizazi kijacho Cha watanzania miaka 100 au 200 ijayo🤔
 
Moja kati ya sekta nyeti katika taifa ni ile tunaita "think tank".

Sijajua kwa taifa letu watu hawa wanatoka angle ipi,ni aidha ni watu wa sili sana ama wanatoka mbele ya vyombo tunavyoviona ama vile vinavyojihusisha na mambo ya intelijensia!.

Sipo hapa kujadili wanatoka wapi!, nipo hapa kujadili kazi yao maana mara nyingi hawa matokeo yao huonekana hata wao wasipoonekana!.

Ni wazi kabisa hawa watu ndio huwa na dira ya taifa, kazi yao ni kutoa mawazo makubwa na mapana ambayo aidha mara nyingi huwa ya siri sana,na mambo haya husimamiwa na vyombo vinavyojitambua ktk nchi!.

Kufaulu kwa watu hawa ndio kufaulu kwa nchi na Moja kati ya sifa za watu hawa ndio first class ya wazalendo ambayo inaangalia masirahi ya taifa ktk nyanja zote bila kujali kabila, dini, mahali au utu wa mtu bali taifa linatakiwa nini!.

Hawa ndio wale watu ambao hawaongozwi na tamaa za matumbo, ulafi wa mali, madaraka n.k.

Na ndio watu ambao usipowasikiliza mawazo yao lzm uangukie pua na pia wakiona hatari yoyote basi wanaweza kutumia chochote kuepusha hatari hiyo!..

Nini hofu yangu juu ya taifa langu?

Kusema kweli siioni mbele nzuri ya taifa letu haswa nikiangalia utendaji wa ukuaji wetu ktk sekta zile nyeti!.

Mpaka leo Kuna mambo ya ajabu ambayo yanatokea na sioni yakidhibitiwa vilivyo.. sawa sikatai taifa letu lipo vizuri sana ktk kutunza amani hapo tumefauli, lakini amani hii inatakiwa iwe na faida maana kusema tu unaamani na wakati mambo hayaendi kiufasaha jua unaitumia vibaya hiyo amani na huenda ikakutoweka!.

Sio andiko la matishio ni andiko la kengere tu.

Matofali kadhaa yakiwa mabovu yanaweza kufanya nyumba nzima ikaangua!.. nitagusia Kona kadhaa nyeti ambazo kwa jicho langu naona kama tunaingiza nyongo mbovu!.. twafahamu tunashida ya ajira nchini.

Huo ni wimbo Tena ni wimbo ambao unaweza kuchukuliwa kama masihara lkn ni tatizo na linahitaji ufumbuzi wa haraka sana maana naona zile Kuna baadhi ya sekta Zinakanyagwa!. Leo hii watu wanaingia jeshini sio kwasababu ya motisha ya kulitumikia taifa bali kujinasua kiuchumi!.

Watu wa namna hii wakijaa huko jeshini basi tumekwisha!.
Jeshi ni engine muhimu ktk nchi hakuna asiejua,sitaandika hatari zake ukitafakari tu utajua!.

Elimu yetu bado inajikongoja nawakati twafahamu umuhimu wa sekta hii ktk nyanja zote za nchi,Sina haja yakuandika elimu inazalisha watu gani bali Nina haja ya kuitaka jopo la utafakariji kufanya kitu juu ya elimu yetu,hasa ktk mitaala nafikiri Sasa hivi tutoke ktk elimu ya kukariri na tuje katika elimu ya uelewa.

Masirahi ya taifa yanvyokanyagwa!.. nimechoka kusikia hizi habari za mafisadi wanavyokula dodo na hawafanywi kitu!, tunatangaziwa ila hakuna hatua yoyote inayochukuliwa!

Hii haipo sawa mnauaribu umma kisaikolojia na kiuchumi pia niseme tu taifa halipo serious na watu wanaocheza nalo!.

Kwani idara nyeti na zile za sheria zinafanya nini? Hii ndio dira mliyoichagua? Hivi hamuoni haya usoni nyinyi?

Sasa mnasimamia nini kama mnaangalia tu? Mnajua matokeo ya haya ni nini?

Uchumi
Uchumi wetu kwa asilimia kubwa umeshikwa na watu ambao asili sio watanzania!, hata mseme ninaubaguzi potelea mbali ila ni hatari sana hichi kitu kwa tunaojua misuli ya uchumi inawezaje kuteteresha angle muhimu za nchi Sasa vipi kama uchumi haujashikwa na wazawa?

Ndani ya nyumba yako lazima utengeneze uchumi wa watu wako mwenyewe maana ndio haohao wanaoijenga kesho na leo ya taifa unaloliita lako.

Sidhani kama nchi yetu ipo serious na swala la ujasusi wa kiuchumi na ndio maana hata muda mwengine yanaingia mabidhaa ya hovyo, wafanyabiashara wanakutana na mambo ya hovyo, mazingira nayo badala yainue kipato bali yanakula kipato!.

Thinkers haya yote ni yakwenu!

Nafasi za madaraka kukanyagwa!.

Inakuaje hadi kwenye nafasi nyeti anateuliwa mtu asiestahiri? Je hamna vitengo vizuri vya vetting?

Mkijua mmeteua mtu wa hovyo nani anawajibika? Haya maswali kama hayana majibu kaeni mkijua ndio maanguko yenu!.

Nani kashikilia usukani wa maswala ya Imani ktk nchi hii?
Sasa twaona makanisa na mabango ya ulozi ktk Kila Kona ya nchi.. sidhani kama nastahiri kuwafundisha athari ya Imani ktk nchi nafikiri mwajua na hapa nikazie tu kwenye elimu. mkiwaelimisha watu wenu vyema Kuna mambo hamtasikia kamwe!

Naomba nihoji hivi yule wakujiita mchungaji kwenye mkutano wake walipokufa watu kadhaa nyinyi kama think tank wa taifa letu mlipata nini kichwani mwenu?

Hizi hadaa nyingi nyingi na za hovyo mnaziachaje ziumize chumi za watu wenu,ikiwa pamoja na uhai wa watu wenu?

Sioni haja ya kuwafundisha ila mnajua nini kiliwapata jamii ya watu wenye albinism japo Sasa yamepungua ila lawama itakaa kwenu kwa kuchelewa kwenu kudili ni bongo za watu wenu!.

Utamaduni wetu,mambo yetu yanakanyagwa na utandawazi sio kwamba hamuoni mnaona lkn mmeyaacha na sio kwamba hamuwezi kupambana mnaweza Tena vita bado changa, sitaandika mengi ila itoshe kusema hatuwataki hawa wanaume wanaojiita akina delicious!!!.

Kwa hayo machache tu naweza kusema kengere nimeshapiga ila mambo ni mengi na taifa linakanyagwa dira yake,na najua mengine ni baraka zenu aidha kwasababu fulanifulani ila hayo mambo hapo juu hayapo sawa kabisa na nyie ndio wakwanza kujua matatizo ya taifa hili tunataka tiba Sasa ili tujue tunataifa lenye dira na watu makini wanaojua nini maana ya utaifa.
1. Huwezi kuepuka watu wenye njaa ndani ya jeshi. Lazima asilimia kadhaa ndani ya jeshi na vyombo vingine kuwa ya wale waganga njaa.
2. Kuna asilimia kadhaa zitakuwa za uzalendo kwelikweli
3. Kuna asilimia kadhaa zitakuwa za bendera fuata upepo.
4. Kuhusu uchumi kumilikiwa wazawa ni wazo zuri lakini haikuwezekana na nchi yoyote duniani except the US, hasa baada ya kuanguka kwa USSR in the late 1980's.
Hakuna hata nchi moja inayomilikiwa uchumi wake na wazawa.
Hakuns ubaya wa wageni kuwa na mitaji ndani ya nchi yetu.
 
Nchi ya china inaviwanda vingi vinamilikiwa na wageni. Hapo jambo ambalo nna uhakika hatuna think tank, ila tuna TISS ambao ufanisi wao ni 20%
 
1. Huwezi kuepuka watu wenye njaa ndani ya jeshi. Lazima asilimia kadhaa ndani ya jeshi na vyombo vingine kuwa ya wale waganga njaa.
2. Kuna asilimia kadhaa zitakuwa za uzalendo kwelikweli
3. Kuna asilimia kadhaa zitakuwa za bendera fuata upepo.
4. Kuhusu uchumi kumilikiwa wazawa ni wazo zuri lakini haikuwezekana na nchi yoyote duniani except the US, hasa baada ya kuanguka kwa USSR in the late 1980's.
Hakuna hata nchi moja inayomilikiwa uchumi wake na wazawa.
Hakuns ubaya wa wageni kuwa na mitaji ndani ya nchi yetu.
Naelewa lkn zisiwe za asilimia kubwa hilo ndio tatizo!
Tatizo hao wageni tunaweza kuwamudu chumi zao zisitikise nchi yetu.. talking about US it's not Tanzania na silo waliloweza ku win US na TZ tutaliwin!!
 
Hapo kwenye hoja ya kwamba ,Kuna vijana wanaingia jeshini kwa ajili ya kujinasua kiuchumi liangaliwe kwa kina sana .. maana in long run wakijazana huko watu wa namna hiyo, ni rahisi baadhi Yao kuasi na kugeuka mamluki ,mwisho wa siku tunakuwa kama Sudan au nchi zile za magharibi ambazo Zina experience military coup mara kwa mara. Leo hii tunajinasibu tuna amani ,lakini vijana bado hawajatengenezewa suluhu ya kudumu kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi. Huko maofisini tu wamejaa watu wenye slogan "piga chako mapema" unatarajia Nini kizazi kijacho Cha watanzania miaka 100 au 200 ijayo
Facts
 
HII NCHI HAIWEZI KUFANYA MAMBO YA MAANA IMEJAWA WAJINGA NA WAPUMBAVU.

SIKUHIZI KUNA WEZI WA MALI YA UMA , MAFIASADI, MASHOGA, NK.

TUNAELEKEA PABAYA SANA.

MFUMO WA ELIMU TULIONAO NI HATARISHI SANA.
VIJANA HAWAMJUI MUNGU KABISA FROM THE GRASS ROOT.
 
Back
Top Bottom