Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,087
5,079
January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.

Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.

Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
 
Kampeni za mitataoni zinaendeshwa na genge moja linalotaka urais. Wanamuona January Makamba kama tishio. Hivyo wanataka kumdhoofisha kwa kuwaaminisha watu kuwa hafai. Na wengine wanafuata mkumbo bila kujua kilichoko nyuma ya hizo tuhuma.

January ni presidential material.
 
January Makamba,mtoto wa Katibu Mkuu mstaaf wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmojawapo wa wasaidizi wa Raisi Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble,focused na mwenye uvumilivu.
Kuwa humble hakukufanyi uwe na sifa za kuwa kiongozi. Kiongozi mzuri ni mwenye combination ya mengi ikiwemo uzalendo, utu uadilifu na mikakati.
 
January Makamba,mtoto wa Katibu Mkuu mstaaf wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmojawapo wa wasaidizi wa Raisi Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble,focused na mwenye uvumilivu.
No, siyo kwamba anachukiwa. Watu wenye akili wanajaribu kupima hivi vyeo anavyopata haraka namna hiyo ni kweli anavistahili au ni kwa vile baba yake ndio watawala wa nchi hii! Tukichukua vyeti vyake vya shule, je anaufaulu outstanding to deserve such accelerated promotions to those levels?

Sawa na Ridhiwani Kikwete, amepata ubunge siyo kwa vile alishindanishwa, ni kwa vile influence ya baba yake played the whole part. Kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, siyo kwa vile ana merit ya kuwa pale, ni influence ya baba yako!

Sawa na NAPE, ana sifa kweli za kuwa pale? Mtu Form four failure, tena div 4 point 30! Huyu ataandamwa kwa vile yuko pale kwa kujuana, siyo merit!
 
Baba yake Nape mzee Moses alikuwa Rafiki wa karibu wa Nyerere.
 
Can you conclude, please?
 
January yupo kwenye Vita tangu aingie 5 bora Urais 2015.

Anaonekana ni threats kwa wenzake kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao.

Wapo wanaotoa hoja kuwa hana Uwezo wa kuongoza ndiyo maana Wizara kadhaa alizoziongoza zimemshinda.

Kitu ambacho hawajui kuwa, Urais wa Tanzania sio kazi ya kubeba Zege kwamba inahitaji Ubaunsa.

Rais ni Taasisi, ndani ya Urais kuna Mainjinia, Madaktari, Wanasheria, Maafisa Mipango, Wachumi n.k
Ni suala la mifumo kuachwa kufanya kazi.

Then yeye anachotakiwa kuwa nacho ni Ujasiri tu wa kufanya maamuzi kama alivyokuwa Ben Mkapa ama JPM lakini kwa kufuata Sheria na Katiba ya Nchi.

Hata mwenye Kidato cha Nne anaweza kuongoza Nchi hii iwapo ataacha mifumo iwe inafanya kazi.

=======
Tatizo la Nchi hii sio January, Mwigulu ama Biteko

Kama CCM itaendelea kuongoza Nchi hii hata aje Mtume M.S.W ama Yesu Kristo wa Nazareth kuongoza kupitia Chama hicho basi nao hawatatufaa
 
Ile voice note inabeba kila kitu.

Lakini haya machache;
1. Huwa anajiona yupo smart kichwani kuliko mtu mwingine wakati hamna kitu..kwenye ofisi yake huwa anabadili sana makatibu.
2. Kwa mara ya kwanza aliingia bungeni kwa rushwa millioni 300 huku baba yake akiwa katibu mkuu na akafumbia macho.
3. 2015 Kikwete alilalamika kuwa pamoja na January kuwa msaidizi wake lakini alienda kuchukua fomu ya urais bila hata kumuambia.
4. Ni mtu anayependa dili sana..kuna ushahidi wa wazi kila alipokuwa akienda kwenye mradi wa bwawa la nyerere kuna zile kampuni zinamletea bahasha ili ziendelee kupewa tenda kwenye bwawa la nyerere..kiufupi anatoka hapo nishati akiwa bilionea wa kutisha.
 
Ni mtu anayependa dili sana..kuna ushahidi wa wazi kika alipokuwa akienda kwenye mradi wa bwawa la nyerere kuna zile kampuni zinamletea bahasha ili ziendelee kuoewa tenda kwenye bwawa la nyerere..kiufupi anatoka hapo nishati akiwa bilionea wa kutisha.
CCM na propaganda duh!! Sasa mbona CAG hakuna huu ufisadi in fact na Tanesco ime record profit kwa mara ya kwanza?

January anaweza akafeli sababu ya incompetence ila kusema ufisadi as if hizo wizara zinazonuka ufisadi kama Madini kule mbona hamkusema Biteko ni fisadi?

Makundi CCM yatawamaliza!!
 
January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.

Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.

Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Makamba ni moja viongozi wabovu akifuatiwa na mwigulu angekuwa nje ya mfumo tungekuwa tushamsahau mda mrefu ni mfumo tu wakifamilia unaomlinda

Tanesco hiyo imemshinda pamoja na kupewa pesa nyingi za maboresho na mama lakini migao imeendelea

Mpaka hapa haujiulizi mtangulizi wake aliwezaje hyo wizara
 
Back
Top Bottom