NGUVU ZA ZIADA ZINATOKA WAPI?
Nguvu za ziada ni nguvu ambazo baadhi ya binadamu wamebarikiwa kuwa nazo . Huu ni uwezo ambao uko juu ya nguvu za kawaida za WATU . Kwa mfano , mtu kuweza kuona mambo yaliyojificha na kuyasema, au mtu kuweza kuhisi kwamba, jambo fulani litatokea na likatokea kweli...