wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata blue ray disk drive

    Habar wadau !! Naomben kujua wapi naweza kupata blue ray disk drive au BD -DD cd zake zinaitwa BD -R zina 40GB empty space. NOTE : BD -DD sio DVD disk drive hz zinazokuja na computer hz ni bora zaid na zipo advance na zina read and write DVD but DVD disk drive haziwez kuread au write BD -R.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Vijana tunakosea wapi siku hizi?

    Habari ndugu wananchi, Kidumu Chama cha Mapimduzi😎 Kuna jambo moja hua nalifikilia sipati jibu. Kipindi nazaliwa namkuta maza tayari ana mashamba makubwa ana viwanja ana mifugo ana asset kibao. Mzee alikua kaoa mitara so home kwetu hakua ana deal napo sana. Mama yetu ni mkulima, yaan...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

    Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever. Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

    Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi wake umechuja Kwa Kasi ya ajabu kutajwatajwa mitandaoni ili Hali bado tunakumbukia Lichimondi, EPA...
  6. hansluvanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashati kama yale ya wafanyakazi wa DART

    ....
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

    WAPO WAPI? KWELI JANA SIO LEO; NA LEO SIO KESHO Kwa Mkono wa, Robert Heriel Maisha yanahitaji upendo. Ukijifanya mjanja subiri wakati wako maisha yatakapokufanya Mpumbavu Yajana yanachekesha lakini pia yanaumiza. Lumaanisha ya leo wapo wanaoumia na kucheka lakini kesho itakuwa kinyume chake...
  8. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini... Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Thamani zipo wazi mwenye macho aone enhh! Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Sababu zipo...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Tumepeleka wapi vichwa vyetu? Hivi ni kweli mchakato wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake ulikamilika kwa vigezo vyote vya kikatiba?

    Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Zile kelele za uraia wa Makamu wa Rais zimeishia wapi?

    Ni Mrundi...kaonekana anacheza ngoma ya Kirundi...sijui jina lake anaitwa Ntiba-somebody... Hizo ndo kelele walizopiga baadhi ya watu kwenye mitandao wakiongozwa na mtu yule.. Sasa ghafla naona zimeisha. Watu wameacha kuhoji uraia wa makamu wa Rais, ambaye alizaliwa Kigoma. Akasoma shule...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada please. Nitapata wapi mayai ya bata ya kutotolesha?

    Waheshimiwa sana salaam. Mimi ni mkaazi wa Dar es Salaam na hivi karibuni nimepata interest ya kufuga bata na kwa kweli nimeamua kuanza ufugaji wa bata wa kienyeji (bata maji) ila ninapenda kununua mayai bora yanayoweza kutotolewa kwa mashine na niyatotoleshe mwenyewe kisha nikuze vifaranga...
  12. hamis77

    JamiiForums Tanzania Sanduku la Agano liko wapi?

    Huu ni mfano wa sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt (Misri) wakielekea promised land (Nchi ya ahadi). Sanduku hilo lilikuwa ni kama box la mbao lililotengenezwa na aina moja ya mbao inayoitwa (acacia wood) iliyofunikwa na dhahabu...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nguvu za ziada zinatoka wapi?

    NGUVU ZA ZIADA ZINATOKA WAPI? Nguvu za ziada ni nguvu ambazo baadhi ya binadamu wamebarikiwa kuwa nazo . Huu ni uwezo ambao uko juu ya nguvu za kawaida za WATU . Kwa mfano , mtu kuweza kuona mambo yaliyojificha na kuyasema, au mtu kuweza kuhisi kwamba, jambo fulani litatokea na likatokea kweli...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hivi vifaa vya kujengea nyumba za viongozi huwa vinanunuliwa wapi? Nyumba moja kugharimu milioni 838

    Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini? === Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu taarifa binafsi unazotoa zinatunzwa wapi?

    Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye mikono ya nani na zinatunzwa vipi Hii itasaidia kutoa muongozo kwa mtu kujua anatakiwa kwenda kwa nani...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Swali: Nioe au niolewe wapi?

    NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI? Kwa Mkono wa Robert Heriel Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani. Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa upande wa wanaume. Wanawake nao wakaniuliza; TUOLEWE wapi? Kwenye kuoa na kuolewa kuna maswali Makuu...
  17. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mchambuzi wa soka Ibrahim Massoud Maestro?

    Habari wakuu, samahani naomba kuuliza kwa wale wafuatiliaji wa kipindi cha Sport Headquater EFM 09.00 asubuhi hadi saa 12.00 NAOMBA KUJUA ALIPO MCHAMBUZI NGULI NA KIONGOZI WA MICHEZO E FM IBRAHIM MASSOUD (MAESTRO) Ni takriban week mbili sijamsikia, Ningekuwa na mawasiliano yake ningemuuliza...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

    Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika. Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna...
  19. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

    Huyu ni mmoja wa wanasiasa aliyeongoza kwa kubadilishiwa Wizara karibu tatu katika miaka mitano ya Hayati Magufuli. Mara ya mwisho kumuona ni kabla ya uchaguzi wa 2020. Ningependa kujuza alipo kwa sasa anafanya nini? Pia soma: Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!
  20. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kachero mbobezi yupo wapi? Ameshindwa hata kutoa pongezi kwa awamu ya 6?

    Katika pitapita mitandaoni sijafanikiwa kukutana na mahojiano au hata tweet ya Mr Benard Membe l. Akizungumzia chochote juu ya kifo cha Magufuli wala ingizo jipya la raisi Samia Suluhu. Huyu ndugu amesua? Yuko wapi? Au ameachana na siasa uchwara kama Rostam? Wengine walioko kimya. Mzee...
Back
Top Bottom