wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

    Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha: Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁. Si mnakubalika? Si...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tz iko wapi kwenye 4th Industrial Revolution?

    Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution). Katika hili, Tz kama taifa iko kwenye stage gani? 1st, 2nd, 3rd au 4th? Na katika stage iliyopo vipi ni viashiria kwamba iko kwenye stage hiyo? Na kwanini iko kwenye stage hiyo? Kilichoifikisha au kuishikilia kwenye stage...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kununua mbwa aina ya bull dog. Ni wapi nitapata?

    Natafuta bulldog Wapi nitapata? Nikikosa bulldog Basi mbwa Kama huyu. Call 0655173113
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

    Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi. Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting Hatuna cha kujifunza kweli? Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia! Mwenye macho haambiwi tazama.
  5. JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Nyerere Alikuwa Rais wa Wapi?

    Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

    Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji: Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo. Ukitaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi?

    Wakati najiandaa kuandika waraka nilioupa jina "Msajili wa vyama vya siasa unataka nini tukusaidie" nikakutana na taarifa ya ofisi ya Chadema kuchomwa moto huko Tunduma. Naomba niyajadili yote kwa pamoja na kwa ufupi. Pamekuwa na tuhuma na kuandikiana barua na kujibishana kati ya Chadema na...
  8. JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujua ni wapi hapa Daslam wanatengeneza Bomba frem ya canter

    Wadau naomba kujua ni wapi kwa Daslam au Mwanza wanaunda frem ya 'Bomba ya canter
  9. JamiiForums Tanzania Marais na wageni mashuhuri waliokuwa wakifika na kulala Chato walikuwa 'Accomodated' wapi?

    Baada ya kuonaa Waziri Mkuu akitua katika kiwanja cha kimataifa cha Chato kufunga kongamano la vijana nimekumbuka ziara za Marais awamu aliyopita huko Chato Bila shaka tunakumbuka kuwa awamu iliyopita Chato ilipokea marais na wageni mashuhuri kadhaa waliokuwa wakikutana ma mwenyeji wao Hayati...
  10. JamiiForums Tanzania Je, nani anajua kwa usahihi zero distance (0) inaanzia wapi?

    Kwenye kuhesabu kilometers na mileage za kila mkoa Kuna zero na hapo kwenye zero ndio huanzia sifuri ya mkoa kwenda mikoa mingine Sasa kwa morogoro Kuna alama iliwekwa na mjerumani je Nani anajua ilipo? Mimi naifahamu barabara kwa anaeijua aseme! Na kwenye Uzi huu kila mtu ataje zero point ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mnapata wapi Marafiki Physically?

    Hivi nyie wenye marafiki ambao mnatembeleana na kukutana physically weekend mnawapata wapi? Mbona mi niko mwenyewe sana Yaani weekend nazichukia bora weekdays nikiwa kazini muda unaenda ila weekend niko mwenyewe kama zombie. Nijichanganye wapi na mimi nijuane ata na washkaji wawili watatu...
  12. JamiiForums Tanzania Ni wapi ulipotoka, ulipo sasa na unategemea kuwa wapi baada ya miaka 5?

    Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso ulizopitia, huku ukionyesha njia na biashara unayofanya sasa, changamoto zake, ilikuwasaidia wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua...
  14. JamiiForums Tanzania Sijui tunakwama wapi Watanzania!

    Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza. Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna...
  15. JamiiForums Tanzania NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

    Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki. Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason. Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
  17. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Upinde na mishale ya kisasa kama hii

    Natafuta hizi zana, wapi nitazipata?
  18. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata haya mapanga

    Mapanga marefu yenye makali pande zote, yanahifadhiwa kwenye pochi lake
  19. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Walionifukuza CCM wapo wapi? 12 Oktoba 2021 Kazi iendelee

    Salaam Wakuu, Mwanadiplomasia wa Kimataifa Bernard Kamillius Membe, amedai hajawahi kuhama CCM, bali ilifanyika fitini na watu wachache ambao sasa hawapo kwenye Utawala wa CCM ili asigombee urais wa 2020. Leo Membe amepata nafasi ya kuongea katika ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa, na kusema...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka hizi zilikuwa zinapeleka wapi toto hizi kutoka kwenye mafuta?

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu), Mamala ya Mapato Tanzania (tozo ya kuchakata taarifa), Shirika la Viwango Tanzania (tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta),” Wakala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…