NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki.

x.jpg


Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.

nbc.jpg
 
Vitu vingine mkuu tunajiabisha na pia tunaabishana na kuonekana Yanga wote hatunazo vichwani, Yaani unafungua uzi kuongelea rangi ya twiga aliyopo kwenye nembo ya NMB wakati kila mtu, taasisi, kampuni, shirika lina design logo kulingana anavyotaka yeye na kwa rangi anayoiona mwenyewe inafaa.

Ulikuwa wapi siku zote kuhoji rangi ya twiga aliyopo kwenye nembo ya benki ya NBC? maana benki ina zaidi ya miaka 10 tokea ianzishwe
 
Kwani NBC wameanza baada ya kudhamini ligi?

Ulikua wapi kuuliza kabla ya wao kudhamini ligi?

Naona watu wa njano hapo kwenye logo ya utopolo, unaweza kuniambia hao watu ni specie gani na wanatoka galaxy gani?
Akijibu nishtue Mkuu

Matumizi mabaya ya Nyara za serikali hayawezi kuhalalishwa kisa tunahitaji pesa! Sikuwa nina muda wa kujadiri hili kabla hawakuwa wadhamini wa Ligi.

Ila kwa sasa kitendo cha kuwa wadhamini wa ligi naona itaenda kuathiri reputation ya Klabu Kubwa Kama Yanga kwa kutufanya washirika katika Matumizi Mabaya Ya Nyara za Serikali.

Tumekataa kuwa sehemu ya mpango huo.

Tumekubaliana kuwa Twiga wetu atakuwa na rangi inayofanana na wale walioko serengeti. Hii ni sawa na kuunga mkono jitihada za serikali katika Utalii.
 
Vitu vingine mkuu tunajiabisha na pia tunaabishana na kuonekana Yanga wote hatunazo vichwani, Yaani unafungua uzi kuongelea rangi ya twiga aliyopo kwenye nembo ya NMB wakati kila mtu...
Dont take life that much serious changaule. We're just having a good time right here. Nothing is serious though.
 
Back
Top Bottom