wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Utamaduni wa wamarekani weusi huchangia kuwa nyuma zaidi kimaendeleo, Vitu kama muziki wao wa hiphop sio wa kuendelea kuusikiliza unasambaza sumu

    Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma, Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu. Shule zipo...
  2. Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

    Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist Waliozaliwa kati ya 1. Januari 20 mpaka February 18 2. May 21 mpaka juni 20 3. August 23 mpaka September 22 4. December 22 mpaka January 19 Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists) Kama wewe ni...
  3. Kuna askari wa Ukraine walivuka mto Dnipro waliko warusi halafu wakacheka kwa upumbavu wao

    Kikosi kidogo cha askari wa Ukraine hivi karibuni kilifanikiwa kuvuka mto Dnipro oblast ya Kherson kutoka upande wa Magharibi na kuingia Mashariki ambako ndiko ziliko ngome za jeshi la Urusi tangu walipoamua kuachia eneo hilo la mashariki ambalo halina umuhimu kwao kiulinzi. Kikosi hicho...
  4. M

    Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

    Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si...
  5. U

    Simba wamesahau mchezo wao na kuwalenga Yanga na Al Ahly tu. Kesho watarudi na "Try Mangungu aondoke!"

    Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama kawaida yao watarudi kwenye Media na kuanza kusema Mangungu aondoke, Try Again, Saido, Chama, Kapombe...
  6. US, Israel na wimbo wao kuifuta Hamas ni kujidanganya

    Wanaukumbi. Ikiwa wewe ni mpya kwa upinzani wa Palestina, labda tayari unajua kuhusu Hamas, lakini jiulize PIJ ni nani. PIJ (Palestinian Islamic Jihad) na Hamas zote ni vikundi viwili vikubwa vya Upinzani nchini Palestina. Wana malengo sawa katika kuikomboa Palestina, lakini wanatofautiana...
  7. Hamas waliobakia wanapaswa kutumia hii fursa ya kuachiliwa mateka na wao kujisalimisha, wasisubiri kuangamizwa!

    Ni fursa adimu sana jeshi la Israel limetoa la kusimamisha vita kwa siku chache ili kupisha zoezi la kubadilishana mateka na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingiza Gaza kabla ya zoezi la mashambulizi mazito kuendelea mbele ili kuhakikisha hakuna punje inayoitwa Hamas inabakia Gaza. Kama Hamas...
  8. Viongozi wa Simba acheni hivyo vikao na wachezaji, zungumzeni na mameneja wao

    Sijui huu ni utaratibu wa wapi unaotumiwa na Simba kufanya vikao vya kila siku na wachezaji. Hauwezi kujua shida za mchezaji kwa utaratibu huu. Tukisema siasa imezidi pale Simba kuna watu hawatuelewi. Kila mchezaji wa Simba ana manager wake anayejua kila issue ya mteja wake. Mimi nadhani klabu...
  9. S

    Kwanini mababu wa Kiyahudi wanang'ang'aniwa na Wakristo na Waislamu lakini wajukuu wao wanawachukia?

    Kama sio unafiki basi waanzilishi wa hizi dini waliiba mababu wa watu ili wakubalike lakini ukweli ni kuwa hazina uhusiano kabisa na Wayahudi. Kama wangekuwa na uhusiano nao wangewapenda wajukuu wao. Na tena kama hiyo dini nyingine kabisa ikaamua kuiba Hadi maandiko ya kiyahudi na kuyageuza...
  10. J

    Kilichoiponza Yanga ni ile kuambiwa wao ni Club ya 3 kwa Ubora Afrika

    Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia kweli kuwa timu yao ni ya 3 kwa ubora Afrika, wakati hata haijawahi kushiriki klabu bingwa kwa...
  11. Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  12. Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?

    Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani? Nimeshuhudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati hazijabadilishwa. Mwenge wa Burundi 🇧🇮 unamulika wazembe, wala rushwa na wanaotaka kupindua nchi🤣 Je, Tanzania...
  13. Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao. Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi: - Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo...
  14. S

    Klabu kubwa Ulaya Zimepata Hasara Wachezaji Wao Kuumia Euro /WC Q 2024/ 2026

    Kutokana na ratiba ngumu na wachezaji kukosa muda wa kutosha kumpumzika imepelekea Baadhi ya wachezaji kuwa na kipindi kigumu ikiwemo majeraha wakati timu ya taifa Ina wahitaji na vilabu navyo vinawahitaji. Barcelona itamkosa Gavi kwa msimu wote uliosalia kwa majeraha , na wanajiandaa kupeleka...
  15. Zamani watoto walitafuta wazazi wao waliowatelekeza, zama hizi wazazi ndiyo wanatafuta watoto wao

    Kwema Wakuu! Sikuwepo zamani sana. Lakini miaka ya tisini mpaka elfu mbili hivi ilikuwa kawaida Baba kumtelekeza mtoto au watoto huku akiacha maneno ya shombo, jeuri na kiburi. Kuwa akikua atanitafuta mwenyewe. Na kweli zamani hizo niliona watoto wengi wakifanya hivyo, wakitafuta wazazi wao...
  16. M

    Kwa ruzuku na pesa wanazopata ACT Wazalendo nilitegemea hawa wanachama wao walio na umasikini mkubwa wajengewe nyumba

    Huu ni umasikini uliokithiri
  17. Azov Brigade, Magharibi wanakuendesha vile wanavyotaka wao kuwa makini

    Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine. Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake. Dunia hii...
  18. Dunia inafahamu uongo wa IDF. Waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael, leo wamekiri kuwa ni Wapelestina!

    Wanaukumbi, Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina. Swali basi ni, nani aliyewachoma? Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
  19. L

    Rais wa Marekani apaswa kuafikiana na Rais wa China ili mkutano wao upate matokeo ya kunufaishana

    Rais wa China Xi Jinping amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Joe Biden kabla ya Mkutano wa Viongozi wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasific (APEC) wa mwaka huu, ambayo yamefuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.. Mazungumzo yao yanfanyika kwa wakati sahihi kwa upande wa...
  20. RASMI: WCB wasafi wamtambulisha msanii wao mpya; D VOICE

    Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE. D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…