wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi jogoo wangu akimpanda tetea wa jirani, nakuwa na haki kwenye mayai?

    Eti wakuu. Maana naona ng'ombe wanapandishia hela. Walau hawa wanalipwa. Sasa hiki la jogoo likoje?
  2. Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  3. MSaada: Mtoto wangu anapata joto kali

    Habari Doctors naomba msaada wenu, Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana tatizo lolote. Lakini mama yake ana mimba ya miezi nane sasa watu wananiambia wenda ikawa joto la...
  4. Sikiliza wimbo wangu mpya CHANGANYA

    audiomack.com/haitham-kim/song/changanya
  5. Mdogo wangu Metacha 'Poti' Mnata, Meneja wako Jemedari Said atakuponza na Yanga SC 'watakuua' sasa!

    Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na tunaokupenda na Wanaokupenda tumekushauri vya kutosha na unatuona Mangumbaru (Wajinga) na Mapopoma...
  6. M

    Uchambuzi: Kante mechi ya Ufaransa vs Ujerumani

    Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
  7. RC wa Dar ' Comrade ' wangu Amos Makalla jiangalie sana Suala la ' Wamachinga ' linaenda ' Kukufyeka ' usipoachana nalo

    Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote. RC wa Dar Amos Makalla huu ' Mkakati ' ambao nasikia umeuanza hasa wa Kuwapangia na Kuwaondoa ' Wamachinga ' maeneo yao...
  8. Nalaani kitendo alichofanyiwa mke wangu siku ya harusi yetu

    RIP Fredwaaa. Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu. Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa. Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
  9. Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

    1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
  10. TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  11. Eti watoto wangu watakuwa wamefanya makosa?

    Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi, kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu. Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia ndizi zake ache kulemezea kwangu akakataa, sasa kuna ndizi moja ililemea ukuta wangu nikamueleza...
  12. Wataalam wa kuku nimsaidieni tatizo hili kwa kuku wangu

    Ni mzoefu katika ufugaji. Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika. Ni kama vile kaisha chaji. Sauti inatoka kinyonge na hata mda mwingine anaishia katikati hamalizii kuwika mpaka...
  13. Simuelewi huyu ex wangu

    Ananisimulia jamaa yangu:- Miaka kama tisa iliyopita nilikuwa kwenye mahusiano na Mwanadada mmoja tuliyekuwa tunafanya nae kazi kwenye kampuni moja. Ndani ya miaka mitatu mapenzi yetu yalikuwa motomoto kabla ya Mimi kuamua kujitoa ghafla bila ya hata sababu za msingi. Hali iliyomuumiza sana...
  14. Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

    Hi gentlemen & ladies! Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa. Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
  15. Mohamad Mlamali Adam alivyomweleza Abdulwahid Sykes mwaka 1988

    Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London. Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu ambayo nilikuwa nimeandika kuhusu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika aifikishe jarida la Afrika...
  16. Huyu mdogo wangu anakipaji cha Muziki wa Kimarekani afenyeje ili aingie U.S?

    Wakuu huyu mdogo wangu anakipaji cha Kimarekani afanyeje aweze kuingia U.S. kuimba Muziki wa namna hii. Kama una marafiki ni producers huko US, au American Got Talent, au Wasanii wakubwa US, nisaidieni contacts zao wakuu. Najua kuna wengine wapo US uko saivi.
  17. Mtazamo wangu kwa sasa Taifa halihitaji Katiba mpya, Rais Samia Hassan anatosha

    Habari wadau, Awamu iliyopita wengi waliililia katiba mpya sababu utawala uliopita wa awamu ya tano kiukweli uliwabana sana mbavu kila kona mpaka wakajiona kama wao sio sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini SAP baada ya kuingia Mama Samia katika kiti cha Urais kwa kipindi hiki...
  18. Angalia ujuzi wangu na uzoefu katika usafi hasa uchafu sugu ikikupendeza tushirikiane au nipe nafasi kiwandani, ofisini au hotelini kwako

    Habari ya leo wapendwa, Mimi ni mjasiriamali najihusisha na usafi wa aina mbalimbali nimejikita zaidi katika uchafu sugu. Mfano: 1.Masink yote yaliyo kuwa na uchafu sugu Kama unjano ama kufubaa nang'arisha na kurudisha kuwa jipya kabisa. 2.Tiles za ukutani ama za chini zilizo na...
  19. Nilipokuwa Mwalimu nilionyesha kwanza uwezo wangu wa kufundisha kabla sijaleta ushawishi kwa wanafunzi nilibobea sana kufundisha A level Physics

    Yaani haujashika hata chaki haujaanza hata kuandika wanafunzi hawajakuelewa kuwa unafundisha vibaya au vizuri unaanza kujisifu tu mm ninajua kufundisha bila hata kusolve hata swali moja. Nawashauri waalimu mnapotaka kuleta ushawishi wa namna yenu ya kufundisha fundisheni tu kwa juhudi na...
  20. Nezha Reborn: Animation bora kabisa kwa upande wangu

    Nezha Reborn ni animation hiii imetulia sana ina mkono sijapata ona kama uliona nezha part 1 basi hii si yakukosa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…