Eti watoto wangu watakuwa wamefanya makosa?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi, kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu.

Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia ndizi zake ache kulemezea kwangu akakataa, sasa kuna ndizi moja ililemea ukuta wangu nikamueleza akasema sina shida nayo hata ikiiva nile nimpe mgomba tumekaa muda ndizi kweli ikaiva.

Sikuwepo watoto wakaanza kula kufika kichani akaja akawaita nani amewapa ndizi zangu mmoja akajibu ni wewe bibi. Kivipi akamkumbusha alivyoniambia now ni makelele na ametaka kuikata wakamwambia aache kwanza waniite.

Sikuwa home nilipoingia home akaanza kusema watoto wangu wataona na ndizi hawatapata choo nimeita balozi jibu ni kwamba ndizi imekatwa na akapewa yeye kilichobaki ila hili neno linanikosesha raha WATOTO WANGU HAWATAONA CHOO NAWATAONA.

Watoto ni wadogo eti 4 years to 2 years? Nimechoka je hii ni sawa kutishia watoto wadogo hivyo? Seriously?

Naombeni ushauri kweli njia Pandaa

1623307545099.png

Omba na ufute ayo maneno katika ulimwengu wa roho na wamwili,kwani maneno yananguvu na shetani pia hushikilia neno na kukamilisha lengo lake ovu.Pia waonye wanao kuchukua kitu bila iyari ya mmiliki au kupewa na mmiliki hata kama alikubali lakini watoto hawakupatiwa ruhusa ya kugusa chochote
 
We naye! Ungefanya kujishusha kama ni watoto wamekula basi unaomba msamaha kwa ilo kwamba nisamehe tu mama ni watoto na mimi sikuwepo sisi ni majirani tusiishi ivo tafadhali unakuwa umemkata nyodo kiaina uone kama ata mjumbe angeitwa
 
Una busara sana. nina zawadi yako
 
We naye! Ungefanya kujishusha kama ni watoto wamekula basi unaomba msamaha kwa ilo kwamba nisamehe tu mama ni watoto na mimi sikuwepo sisi ni majirani tusiishi ivo tafadhali unakuwa umemkata nyodo kiaina uone kama ata mjumbe angeitwa
Hii njia A ikishindikana, basi nichukue nije nimlapue vibao.

Ila ninaimani watoto hawataguswa na chochote.

Ooh! Nimeshau kuuliza kuhusu mumeo, yeye ka_suggest nini?

kwako katoto kazuri
 
Kwavyovyote vile isingeshindikana coz anasema ni watoto wadooogo na dada wa kazi sa kelele zingetoka wapi
 
Hana lolote ameamua kukutisha tu, ila futa hayo maneno anaweza asifanye yeye akafanya mwingine iwe sababu flani alisema mkaongeza uadui
 
Omba na ufute ayo maneno katika ulimwengu wa roho na wamwili,kwani maneno yananguvu na shetani pia hushikilia neno na kukamilisha lengo lake ovu.Pia waonye wanao kuchukua kitu bila iyari ya mmiliki au kupewa na mmiliki hata kama alikubali lakini watoto hawakupatiwa ruhusa ya kugusa chochote
Kwanza dada ni mtu mzima still anajichanganya yaani badala ya yeye kutafakari wakala tena walitungua hicho kichani.
Na watoto kosa nikuzila kitu ambacho hawakupewa kwa ridhaa ya mtu.
 
I
Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi,kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu.

Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia ndizi zake ache kulemezea kwangu akakataa, sasa kuna ndizi moja ililemea ukuta wangu nikamueleza akasema sina shida nayo hata ikiiva nile nimpe mgomba tumekaa muda ndizi kweli ikaiva.
Takapo happen ndipo utakapojua anatishia au Lah!

All in all stay strong.
 
We naye! Ungefanya kujishusha kama ni watoto wamekula basi unaomba msamaha kwa ilo kwamba nisamehe tu mama ni watoto na mimi sikuwepo sisi ni majirani tusiishi ivo tafadhali unakuwa umemkata nyodo kiaina uone kama ata mjumbe angeitwa
Huyu mama sio mtu mzuri tokea nihamie anavisa vingi .
1.tumehamia nyumba yetu
ni jioni sasa vip maendeleo ya watoto hawajapata choo bado
Wamepata ila sikukaa kimya
 
Kwanza dada ni mtu mzima still anajichanganya yaani badala ya yeye kutafakari wakala tena walitungua hicho kichani.
Na watoto kosa nikuzila kitu ambacho hawakupewa kwa ridhaa ya mtu.

Omba radhi uachane nayo
 
Back
Top Bottom