wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

    Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa. Nikaanza...
  2. Haitham Kim

    Sikiliza wimbo wangu mpya

  3. A

    Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Habari wakuu wa kaya. Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha. Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. Amegoma kunisamehe...
  4. Guru Master

    Ushauri wangu kwenu Simba. Badilisheni na hapa pia

    Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara. Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba. Lakini miaka yote...
  5. P

    Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

    Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
  6. Mwande na Mndewa

    Mchango wangu kwa serikali kufikia lengo la trilioni mbili kila mwezi

    Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi, Kama tumeamua kuwabembeleza wafanyabiashara, basi kuna mambo mawili ya kufanya mdaiwa asipolipa...
  7. Mboka man

    Mpenzi wangu kagoma kuhamia imani yangu ili tufunge ndoa

    Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
  8. Hamayser hamisi

    Ushauri wangu juu ya kurejesha namba ya simu iliyopotea au kuibwa

    Kumekuwa na utaratibu wa kwenda polisi pindi mteja wa mtandao wa sim anapo potelewa ama kuibiwa sim yake ili kurejesha namba yake. Wata zania awapendi usumbufu pia tuna haiba ya woga, kwaiyo lipokuja suala la kwenda polisi kwa sababu kupotelewa na laini ya sim linakuwa changamoto kubwa sana...
  9. Hamayser hamisi

    Ushauri wangu juu ya kurejesha namba ya simu iliyopotea au kuibwa

    Kumekuwa na utaratibu wa kwenda polisi pindi mteja wa mtandao wa simu anapo potelewa ama kuibiwa simu yake ili kurejesha namba yake. Watanzania hawapendi usumbufu pia tuna haiba ya woga, kwa hiyo lipokuja suala la kwenda polisi kwa sababu kupotelewa na laini ya simu linakuwa changamoto kubwa...
  10. Tomaa Mireni

    SoC01 Kodi ya Uzalendo: Ushauri wangu kwa Serikali jinsi ya kuthibiti na kujenga imani kwa walipaji

    Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji. Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
  11. Saa 7 mchana

    Nakupenda sana baby wangu ila tatizo tozo

    Rahaziz mkalia nyongo
  12. Analogia Malenga

    Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

    Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika utawala uliopita alikuwa na msimamo tofauti na wa sasa kuhusu hatari ya virusi hivyo na sasa...
  13. ommytk

    Watu umri wangu tuliokua wote wana maisha mazuri sana, sijui mimi nineteleza wapi

    Yaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha. Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese...
  14. N

    Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

    Habari Wakuu, Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini. Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa...
  15. Chizi Maarifa

    Uzoefu wangu kutegemea vyombo hivi vya Umma ni hatari kuliko hatari yenyewe

    Mwaka fulani hapa Jijini Dar es salaam nikiwa naishi mitaa flani jirani yangu alipatwa na janga la moto. wakati tunapambana na huu moto jirani akawapigia simu zimamoto. tuliendelea kupambana na moto huo na baada ya muda mfupi (dk 50) walikuja zimamoto wakati huo kwa upande wa chini tumefanikiwa...
  16. Samia atosha tukutane2030

    Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

    Habari, Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana. Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho. Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika. Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
  17. rakeyescarl

    Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  18. Woga tupa kulee

    Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ujumbe wangu wa leo

    Picha ya kwanza inaonesha vifaranga vya ndege vikiwa hai, mama wa vifaranga hivi alitoka na kwenda huko kutafuta chakula cha kuwalisha watoto wake, lakini akiwa huko alikutana na maadui wakampiga na kumuwa. Vifaranga vikabaki vinateseka kwa njaa na baada ya muda kidogo navyo vikafa kwa njaa...
  20. Reginald L. Ishala

    Msaada kupata software za hacking, Coding, na Antivirus

    Habari za hapa na pale wana jamvi! Naombeni mnisaidie links za kupata software za hacking, Coding, na Antivirus. Kama ikiwezekana na keys zake pia mnisaidie. Nitashukuru sana wakuu wangu.
Back
Top Bottom