wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuacha Mkaa na kutumia Taa za Joto kwenye malezi ya Vifaranga : Uamuzi uliobadilisha ufugaji wangu

    Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku. Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha. Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
  2. JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho natulia, sitaki mchepuka nitaisoma biblia kwa moyo wangu wote

    Eee Mwenyezi Mungunisaidie No pombe No ngozi
  3. JamiiForums Tanzania Kihongosi: Wanaohoji kwanini nazunguka mikoani 'ni wajibu wangu'

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa kuna watu wanaohoji sababu za yeye kutembelea mikoa mbalimbali nchini, akasisitiza kuwa jukumu hilo lipo wazi kikatiba. Akihutubia wananchi wa Ikungi, Kata ya Puma, Mkoani Singida leo Januari 22, 2026, amesisitiza...
  4. JamiiForums Tanzania Nahisi mtoto sio wangu

    Heshima kwenu wakuu, kiumri ni mkubwa 45+, nimekuwa na shida ya uzazi na shemeji yenu, anabeba ujauzito linajitokeza tu tatizo kidogo tunapoteza mtoto siku ya kujifungua na always huwa anajifungulia hospitali ya mkoa, first born wetuana 17 yrs now, tulimpata tukiw chuo. Second ambae ni wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

    Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu, Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya mabadiliko yaliyofanyika hivi karibuni

    Wizara ya Ndani, aliyekuwepo kaondolewa kwa sababu pale Kuna manunuzi ya upigaji, na alionekana ni mtu ambaye hapendi upigaji katika manunuzi hayo ndiyo maana kawekwa Bwana Mdogo asiyebweka. Wizara ya Habari & Michezo, Kuna hela mingi sana pale za ujenzi na ukarabati wa viwanja vya michezo...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  8. JamiiForums Tanzania Dudu baya amjibu mkewe mkubwa Fela aliyelalamika kuwa mmewe ametengwa na wasanii baada ya kuwa mgonjwa mahututi

    Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote Dudu baya amebainisha kuwa 1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
  9. JamiiForums Tanzania Siku nikimuoa mke wangu

    Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu? Siku nikimuoa mke wangu sitamvika pete kwanza, nitamvika maswali. Kwasababu ndoa si sherehe ya kupiga...
  10. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Mtoto wangu hakuandamana, alipigwa risasi

    Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo. Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi aieleza tume ya uchunguzi, Mtoto wangu hakuandamana, alipigwa risasi

    Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo. Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, hawa wanakuharibia pakubwa wanaoigiza ukatoliki kukugombanisha na Wakatoliki/TEC. USIRUHUSU UPUUZI KAMA HUU

    Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo! Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo! Kuwa macho na walioandaa ujinga huo. Wanakuharibia!
  13. S

    JamiiForums Tanzania "Tumeondokewa na wapendwa wetu"; hivi unawezaje kutoa amri ya kuua mtu halafu akishauawa useme nimeondokewa na mpendwa wangu?

    Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua. Jaribu kutafakari. Unafanya premeditated murder (uuaji uliokusudiwa) kwa kutoa amri kwamba hawa watu...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

    Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siku mpenzi wangu aliponiambia nyumba ile kuna binti anakupenda sana,lakini ilikuwa na mabinti wengi sikumjua ni yupi

    Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja ilikuwa na mabinti warembo wengi tulikuwa tunatizamana yaani ilikuwa n'gambo ya pili si unajua...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu hanitaki

    habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari. Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi...
  17. JamiiForums Tanzania RIwaya: Elise Wangu Kutoka Belgium

    Mwandishi: Murrah. Inapopatikana: Kahawa Time application ya simulizi inapatikana playstore kwa watumiaji wa android na app store kwa watumiaji wote wa (Iphone) Hii Hadithi imekamilika tayari katika application ya kahawa time.. kwa wale wanaopenda simulizi moto moto hii na nyingine zaidi kama...
  18. JamiiForums Tanzania Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu niliopewa na Mungu kuhusu balozi polepole

    Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…