wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Equation x

    Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  2. D

    MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  3. ELI COHEN

    Huu ni utabiri wangu wa EPL msimu huu wako ni upi?

    BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
  4. A

    KERO ATCL wamepoteza mzigo wangu, na ukienda ofisini kwao hawatoi ushirikiano

    Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha inaondoka saa 7 mchana ilikuwa inafika kigoma saa 10. Jioni nimeenda kufuatia mzigo huo nikaambiwa...
  5. D

    Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  6. Baba jayaron

    Ushauri mnaojua shule inayosaidia watoto wenye Uelewa wa taratibu (slow learners) nimpeleke mtoto wangu.

    Habari wanajamvi, Kwa masikitiko makubwa nawaomba mnisaidie kunielekeza ni shule gani hapa Dar es salaam inauwezo mkubwa kuwasaidia watoto wenye Uelewa mdogo yaani slow learners?? Kijana wangu wakiume ambaye Yuko timamu kabisaa anachangamoto darasani tuu, Yaani Yuko darasa la tatu kusoma kwa...
  7. Hyrax

    Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
  8. J

    Petro je wanipenda? Lisha kondoo wangu

    Yohana 21 : 15 Walipokwisha kula, Yesu akamuuliza Simoni Petro, “Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?” Yeye akamjibu, “Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha wana-kondoo wangu.” Yesu akamuuliza tena, “Simoni, mwana wa Yohana, wanipenda?” Petro...
  9. 1Africa54

    Kuna muhuni wangu nimemaliza nae chuo eti sasaivi ni NABII 🤣🤣🤣 anahubiri kwenye youtube channel yake 🤣🤣🤣

    Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌 Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi Kunaanina 🤣 🤣 🤣 aloooooh 🤣 🙌 🤣
  10. Sifi Leo

    Mzee wangu hashimu alianzisha chauma kama Mzee wangu Leo alivyofungua Gest house wapate pesa za uzeeni

    Salumu mwalimu Tanzania Bara usifanye kampeni ila fanya uko kwenu zanzibari ila bara ni aibu. Mzee rungwe alifungua au kuanzisha chauma Ili awe anashiriki uchaguzi anapata ruzuku maana mafao yoteeee aliongaaaaa Mzee wangu Leo yaani Jina la Babangu ni Leo ndio maana Mimi naitwa sifii Leo yee...
  11. Kubwjing

    Mke wangu anachekesha kweli kwa kununa

    Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza...
  12. H

    Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  13. USSR

    CHAN:Ushauri wangu kwa SERKALI.TFF.bodi ya ligi waacheni watanzania waingie bure uwanjani .usituuzie uzalendo

    Nchi zote waandaaji wamewaachia mashabiki wa soka kuingia viwanjani kushangilia timu zao za taifa bure . Timu shiriki zimekuja na mashabiki wamelipiwa viingilia nyie mpo busy kutoza hela nyingi sana sijui mnataka nini na idadi ya mashabiki inazidi kupungua mechi ijayo mtatazama wenyewe VIP Kwa...
  14. Mayor Quimby

    Wosia wangu kwa vijana CCM ni chama kinacho thamani uwezo wa vijana wenye uwezo

    Wewe dogo JF ni sehemu ya kuruka viunzi vya mtaani na wahusika kukupima uwezo wako. CCM ina vijana luluki kutoka vyuoni, inabeba watu kutoka sekondari na vyuoni. Kama umesahaulika huko; JF ni sehemu ya wewe kuonyesha unaweza, jenga nchi. Be it in the process make CCM first and be yourself on...
  15. Kazanazo

    Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

    Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana Mazoezi ya kutembea anafanya...
  16. LiFe 2-point-0

    Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF. Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha. UTANGULIZI Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu...
  17. Liverpool VPN

    Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  18. Daby

    Je, Tunaumwa au ni woga wangu tu?

    Watu wengi ninaowasoma humu na kwenye mitandao mengine[huenda hata mimi nimo] tuna tatizo la self-sabotage au mental stagnation au labda ni woga wangu tu.... Dalili zake Uvivu wa kijamii (social apathy) Kukosa motisha ya kuchukua hatua licha ya kuona tatizo. Mfano: Upo kwenye foleni ya benki...
  19. GoLC

    Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
Back
Top Bottom