wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Munch wa Annabelle

    Mpenzi na mama watoto wangu anaolewa, lakini hii video imenipa ujasiri nitaenda harusini naweza nikafikiriwa upya

    Napitia maumivu mazito mno kushinda hata lisu huko jela.
  2. Mwachiluwi

    Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

    Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
  3. didy muhenga

    Ushauri wangu kwa wanaotaka kununua hisa za CRDB: Case study of IT Outage

    Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi wkitarajia pandisho la bei kwa hisa hivyo market cap yao kuongezeka individually. Sasa swali linakuja...
  4. kiss ov love

    Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

    Guys hakuna kutiki oktoba. Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao. Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja...
  5. Pdidy

    Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
  6. BUMIJA

    Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Wasalamu. Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule. Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie. .Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni...
  7. Mwachiluwi

    Mfugo wangu uhuu

    Karibuni home tufuge wote sasa Hhh
  8. N

    Mke wangu anatokwa damu kila tukifanya tendo la ndoa

    habari zenu,,, naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
  9. Money Penny

    Mpenzi wangu amesema ikisimama asubuhi haisimami tena mpaka kesho asubuhi je hii ni kawaida au mwanaume ni shoga?

    Haya Marijali naomba mje mjibu swali Du, kwa siku mara moja, alooo!
  10. Isenye

    Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

    Mko poa walimwengu? Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
  11. Chizi Maarifa

    Ushauri wangu kwa Wanawake na pia Wanaume. Jambo hili litakomesha yasiyofaa

    Nawashauri katika kubalance shobo na mambo mambo kwenye mahusiano. Ikitokea mwanaume ameomba papuchi nawe lipiza omba mjiti/skinned pipe. Hapo hutasikia mwanaume akilalamika kuwa una tabia za hovyo au unajiuza. Na mwanaume pia ukiombwa pesa nawe omba pesa. Ili mtu ajifunze kutoomba kitu...
  12. Think2

    Kuku wangu wamepatwa na nini?

    Nimewaacha kuku wangu wakiwa vizuri kabisa ile nimetoka kidogo nimekuta wamekufa wote sasa itakuwa nini wakuu??
  13. Penguinelli Cactussini

    Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

    Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇 Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
  14. mwehu ndama

    GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu...
  15. kyagata

    Hivi na nyie wenza zenu ni wambea kama huyu wangu?

    Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu. Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki. Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu? Note: Umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
  16. K

    Mke wangu kaja na style mpya ya kukulana

    Wakuu, habari za weekend? Usiku wa kuamkia leo mke wangu kanijia na style mpya ya kudinyana ambayo mimi siijui na sijawahi kumuona akiitumia tangu tujuane huu mwaka wa 7. Kikawaida sisi huwa tunatumia style ya kifo cha mende na mbuzi kagoma kwenda, na mara moja moja huwa tunatumia ile ya popo...
  17. Z

    Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

    Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani, twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa. Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
  18. Choosen85

    Nahisi mke wangu anajichua

    Wakuu mko salama Polepole mmemskiliza....... Nipo ninaishi na mwanamke wangu sasa ni miaka minne alikuwa ni mfanya kazi wa kazi za ndani hapa dsm kisha boss wake akahamia south africa naye akahamia huko. Sasa changamoto ninayoiona ni kwamba wakati wa kusex mi naendelea ku pump naye yuko busy...
  19. Mohammed wa 5

    Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

    Habari za masiku wana Jamiiforums Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu. Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka...
  20. haszu

    Watoto wangu wakikua watanipenda zaidi wakijua wamechukua uzuri wangu

    Kila nikiwaangalia, najiona mimi, ni warembo kwelikweli, kitu ambacho watafurahi sana wakikua na kuniona mimi, wataona nimewarisisha kitu kilicho chema. Napenda sana Uzuri
Back
Top Bottom