wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Leonce jr

    Mpenzi wangu hataki tena baada ya round ya pili kuingia ya tatu anadai anaumia.

    Hallo. Aah wana jukwaa baada ya celibacy ya muda wa miezi 9 bila sex. Toka December mpaka mosi August juzi amekuja mpenzi wangu wa muda since 2014. Nimeshindwa kukaza kumwambia nipo celibacy. Basi nikala vyangu round mbili baada ya mapunziko kiasi tupo kitandani jogoo kama kawa mpenz wangu...
  2. Zero IQ

    Mke wangu amekuwa na tabia ya kusema tuachane kila tukigombana kidogo leo nimeamua tuachane kweli

    Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha, Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu , Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta, Tatizo kubwa lipo kwa...
  3. MamaSamia2025

    Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  4. Smooth Criminal

    Mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

    Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi; Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma...
  5. AskariKanzu

    UTAJIRI WANGU NI MAISHA DAIMA

    Pesa haiwezi kununua uhai 👇
  6. 1Africa54

    Namna ya kumsaidia manzi wangu anapata sana shida akiingia period

    Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari Msaaada🙏🙏🙏
  7. T

    Hatimaye nimepigwa na mshangazi wangu

    Wakuu, mshangazi wangu alifuma sms za pisi nyingine whatsapp, amenipa kichapo heavy yaani nyie acheni tuu
  8. K

    Mke wangu hapendi nishike uke wake tukiwa faragha

    Wakubwa, kuna kitu kinaninyima raha sana. Nikiwa faragha na mke wangu, nikimshika uke ili niuchezee huwa anautoa mkono wangu, kwa kweli hii hali inanisononesha sana. Nifanyaje wakuu, au nimuache tu?
  9. Think2

    Mdogo wangu anaweza kupangiwa mkopo

    Cv yake hii Amesoma private school O-level A-level amesoma shule ya kata kombi PCB Shule ya msingi amesoma private school Nb, anaomba mkopo ngazi ya diploma
  10. Liverpool VPN

    Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

    INTRODUCTION:- Salam sanaaa? HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI. Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!) Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
  11. Setfree

    Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!

    Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa! Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu...
  12. Mzaleee

    Msaada wa kisheria,mtuhumiwa wangu nimemfikisha polisi kwa amri ya mahakama ila polisi wanataka kumuachia.

    Wakuu kwema? kuna jamaa nilimpa pikipiki awe analeta hesabu kwa wiki ila siyo mkataba,pikipiki ilikuwa mpya ameendesha kama miezi 6 akadai eti imepotea maana akimpa ndugu yake,yule ndugu yake nae akampa mtu ambaye ndiye anayedai kuipoteza. Tangu mwezi wa kwanza ndo jamaa ananipa taarifa za...
  13. N

    Mke wangu aliwahi kubakwa akiwa binti Leo ananieleza hajawahi kuwa na hisia ya mapenzi maisha yake Yote naombeni ushauri

    Habari Wana JamiiForums. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 kuna mambo ya kimahusiano yanayonisibu Kwa sasa nadhani yapo nje ya uwezo wangu kama sitapata mshauri mzuri ninaweza nikaenda mlama kama meli. Twende Kwa mada,kuna binti mmoja miaka mitatu iliyopita tulijikuta kwenye mahusiano ya...
  14. Melancholic

    X wangu anataka turudiane

    Wakuu niliwahi kutoa kisa changu humu nilikutana na kitoto cha 2003 kizuri sana . Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu. Yani kifupi ni chuma ulete na stori yake niliwahi ileta humu ephen_ Half american Balqior na wengineo nashukuru mlinishauri sana kuhusu kumuacha huyo mdada...
  15. kiss ov love

    Namhurumia mdogo wangu, lakini aliyataka mwenyewe

    Habari za uzima wakuu, binafsi nashukuru kwa uwepo wa huu mtandao, kwani imekuwa ni sehemu ya kufarijiana, kutiana moyo pamoja na kupeana ushauri kwenye mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii yetu. Nakumbuka niliwahi kuleta uzi humu wa "hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda" wengi...
  16. kibori nangai

    Mtazamo wangu kwa huyu sijui Anajita Raisi wa Tahilso

    Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole. Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau Yeye ni nani ndani ya CCM au ni nani maana naona anakazana sana . Je ni mwanfunzi au amemaliza chuo,maana...
  17. L

    Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  18. BWANA WANGU

    WAPANGAJI TUKUTANE HAPA TUPEANA MACHIMBO MAKALI YA KUISHI.

    Eeeh bana habari za saa hii mkuu, heshima yenu. Nataka nikapange mitaa ya kwa aziziali, tafadhali naombeni A,B,C zenu kuhusiana na kipande icho. Asante sana.
  19. S

    Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  20. N

    Mke wangu sijui hata kama form 4 alimaliza lakini kwa hii treatment anayonipa nimesahau kabisa kufikiria elimu yake, I really love my wife

    Nilikutana na mke wangu 2018 nilipokuwa kikazi mkoani Kwa kipindi kile alikuwa na miaka 18, kipindi hicho nina 25, bado alikuwa mdogo hana hata simu, mimi ndie nilimnunulia meseji anaweza kutuma vizuri lakini mwandiko wake nilipoujua nilipata mashaka kama amewahi kumaliza form 4 lakini hilo...
Back
Top Bottom