wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

    Habarini wapendwa. Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja). Sasa nina changamoto moja. Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto...
  2. M

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea. Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?

    Kwema Wakuu! Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu nayo aliyaona hayo madude. Kwanza aliyasifia Sana ingawaje ni kiwivuwivu Mimi nikibaki kwenye msimamo...
  4. B

    Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

    Wakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba. Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake. Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa...
  5. Candela

    Naachana na mpenzi wangu kisa bei

    Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana asijihisi yuko peke yake hasa kiuchumi. Wakati naanza nae alikuwa anafumga nywele miezi hata 4 bila...
  6. Librarian 105

    Mtazamo wangu binafsi baada ya fainali ya kwanza ya shirikisho

    USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC. Kwa mantiki hii, utani wa jadi wa timu zetu hizi mbili nchini, mara nyingi ni wenye kuumiza upande mmoja au mwingine...
  7. J

    Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  8. Suley2019

    Dkt. Slaa: Msimamo wangu ni ule ule, wananchi wasipangiwe idadi ya watoto

    NI nadra kusikia jambo hili likizingumzwa na wanasiasa na hata viongozi wa serikali, lakini ni kweli kwamba miaka 1980, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alipendekeza kuwe na Sera ya Watu. Katika sera hiyo, Mwalimu Nyerere alitaka kuwekwe masharti kwamba kila familia isiwe na zaidi...
  9. Econometrician

    Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  10. Moronight walker

    Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

    Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA. Majibu yakatoka watoto wote si wake. Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu. Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
  11. Masai wa Town

    Mrejesho: Mpenzi wangu hana mimba yeyote

    Nashukuru Sana dada na kaka uliyenishauri Jana ingawa 90% ya advance zilikuwa za kunipopoa. Jana niliomba ushauri baada ya mpezi wangu kuniambia anahisi ana mimba. Jioni hii nimefanikiwa kumpima MWENUEWE, nimehakikisha amekojolea kwenye kisado akiwa mbele yangu, nikampima na majibu yakaja...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    George Ambangile: Mchezaji wangu bora wa msimu ni Djigui Diarra

    " Diarra ameleta mapinduzi makubwq sana nchini katika idara ya goalkeeping. Ana footwoork nzuri, anaweza akapiga pasi ndefu ya mita karibia 60 mpaka 70 na ikamfikia mlengwa pale alipo. Anaweza kupooza presha ya mashambulizi, ni mzuri sana katika kupanga mabeki wake yaani ni kiongozi kutokea...
  13. Jemima Mrembo

    Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

    Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine...
  14. Equation x

    Siku mchepuko uliponiambia ana ujauzito wangu

    Ilikuwa kama siku ya alhamisi hivi, mwaka juzi; rafiki yangu mmoja akanipigia simu, na kunijulisha ana ujumbe wangu, nikamuuliza ujumbe gani? akasema kuna dada fulani anakutafuta sana, anasema kwenye simu yako hakupati. Nikamuuliza ana tatizo gani? akajibu, ''anasema ana ujauzito wako, pia yeye...
  15. Surya

    Mwanamke jasiri na mtulivu

    Sijui kwa wanaume wengine wanavutiwa na nini hasa kwa mwanamke wakati wa mahaba na penzi zito Utamu/raha ya mapenz ni hisia. Ukizikosa hisia mapenz yanakua kama uchafu kwako. Binadamu tunatofautiana hisia nadhani, wengine ni kali sana wengine ni kiduchu. Mwanaume ukikutana na pisi umeichakata...
  16. Choosen85

    Uhusiano wangu na baba yangu party 2.

    Wakuu mmebarikiwa sana. Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka kunilaumu tu. UPANDE WA MAMA: tulizaliwa watatu mimi na wadogo zng wawili, kifupi nijisemee mimi bnafs...
  17. Choosen85

    Uhusiano wangu na baba yangu

    Wakuu mmebarikiwa sana sana. Moja kwa moja kwny hoja, kwny familia yetu mimi ni first born bahati mbaya mimi na wadogo zng hatukulelewa na mama mzazi maana inasemekana mzee na mama waliachana tukiwa bdo wadogo so mzee alioa mke mwngne. Mwaka nliomaliza kdato cha 4 ndo ilikuwa mara yng ya...
  18. M

    Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

    Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
  19. Izy_Name

    Mtizamo wangu kwa idara za kiusalama

    Ningependa kutoa ushauri wangu juu ya tathmini fupi nilioifanya kwa macho na kwa kutafakari juu ya baadhi ya idara mbalimbali hapa nchini. 1. Nikianza na TISS ningependekeza kuwe na idara mbili zenye kufanya kazi sawa na TISS bila ya kuwa ushilikiano wa aina yeyote wa kiutendaji katika...
  20. Street brain

    WAZEE WANGU

    Jambo letu tena! Jitahidi kujitambua kwa yale unayoyaweza na yale yanayokupatia ugumu lakini kamwe usiwaeleze watu mapungufu yako kwasababu watayatumia dhidi yako. Mara nyingi watu huwaangusha wengine kwa kutumia mapungufu yao. Jitambue na tumia utambuzi huo kujishinda ili mapungufuyako...
Back
Top Bottom