saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,674
- 7,811
Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?
Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni wepi?