wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Requal

    Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  2. Mr Why

    Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  3. Mwasapile

    Simuelewi mke wangu: Anaweka nywele zake kwenye pochi anayohifadhia pesa

    Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa. Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa. Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo...
  4. GENTAMYCINE

    Sina tatizo la hawa Wanafunzi 1,907 Waliozaa Kurejeshwa Mashule ila wasiwasi wangu mkubwa uko hapa...

    Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa? Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao...
  5. N

    Rais Samia ushauri wangu kwenye kodi ya magari

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, Naomba kutoa ushauri wangu kwenye ushuru wa magari. Nimeona ushuru wa magari unazidi kuongezeka, Mhe Rais/Waziri wa fedha dunia inabadilika kwa haraka sana, Magari ya kutumia umeme EV yanakuja kwa haraka sana na ni jambo lisilozuilika kwa...
  6. Mr Why

    Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

    Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi. Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini...
  7. S

    Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  8. W

    Kuna namna ya kumuombea dua marehemu Eid hii ya Kuchinja?

    Wandugu nilikuwa nauliza, kuhusu mpendwa wangu ambaye ni marehemu, je, nitaweza mrehemu vipi kupitia hii Eid ya kuchinja? Yeye ni Musilamu na mimi sielewi chochote kuhusu hilo suala, hivyo ninaomba muongozo, kuna mnamna ya kusoma dua kwa kipindi hiki cha Eid ya kuchinja? Je, umuhimu wake ni upi...
  9. DUBULIHASA

    Utabiri wangu kuhusu Rais Samia kabla ya 2030

    Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao 1) 2025 Rais Samia atashinda Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi...
  10. mwaibile

    Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
  11. M

    Naomba ushauri kuhusu hili

    Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
  12. anti-Glazer

    Nimeachana na mpenzi wangu leo

    Hawa wanawake wapenda pesa wewe achana naye tu.
  13. sky soldier

    Kwa wale wanaoamka wakiwa na mikwaruzo, ondoa shaka, usipaniki. Nami nishawahi kupata hii hali na huu ndio mrejesho wangu

    Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu. Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
  14. Teslarati

    Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

    Habarini wanajamvi. Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara. Biashara yenyewe ni kusambaza...
  15. Mdigokhan

    Mke wangu ana gubu sana

    Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu. Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia...
  16. Mwachiluwi

    Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  17. RingaRinga

    Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

    Habari wadau! Naulizia mshahara wa June 2023 umetoka au bado? Nina wajinga wawili nataka niwape experience ya kudaiwa waache juchukulia watu poa!
  18. S

    Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

    Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu. Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
  19. M

    X wangu kamwita mwanaye jina langu

    X wangu kawa single mother na kampatia mwanae Jina langu, mwaka 2014 ni mwaka nilipata KAZI ya kuajiriwa ya Serikali, kabla ya kupata ajira nilipitia msoto wa kibabe Sana, pamoja na marehemu baba yangu kuacha Mali za kiasi, bi mkubwa hakuniamini kabisaa na alikuwa aniona chenga sana so bada ya...
  20. Surya

    Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

    Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae. Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana. Sitaki kuwa...
Back
Top Bottom