Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi?
Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo balaa.
Ukitoa taarifa tabu, usipotoa taarifa ndo Vita kabisa ya urusi na Ukraine dah.
No body is...