wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  2. Mdau huduma ya vyoo vya Wanawake SabaSaba ya Dar ni mbaya, vyoo ni vichafu

    Mdau ameshusha andiko lake hili hapa, tulisome tunaweza kupata kitu au ikiwezekana wahusika wachukue hatua... Japokuwa maonesho yanaelekea mwishoni lakini si vibaya tukipaza sauti changamoto ya huduma mbovu ya vyoo vinavyotumiwa na Wanawake ndani ya maonesho ya Viwanja vya SabaSaba, kwa ufupi...
  3. Mbunge Kainja Awawezesha Wanawake Kiuchumi Kata 35 za Wilaya ya Igunga

    MBUNGE JACQUELINE KAINJA AWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WA KATA 35 ZA WILAYA YA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Kata 35 za Wilaya ya Igunga akiwa na lengo la kuwapa mitaji wanawake ili kuwainua kiuchumi katika miradi...
  4. Asije akakudanganya MTU; Wanawake Hawapendani na hawatakuja kupendana

    ASIJE AKAKUDANGANYA MTU; WANAWAKE HAWAPENDANI NA HAWATAKUJA KUPENDANA. Anaandika, Robert Heriel Mwanasaikolojia. Wanawake wenyewe hili wanalijua fika, wala hawahitaji mtu wa kuwaambia au kuwakumbusha. Kwa sababu kiasili tangu wanazaliwa wanajua Jambo hili fika. Wanawake kiasili hawaaminiani...
  5. Ripoti KNBS: Uzito Uliopitiliza ni tishio kwa Wanawake wa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito Uliopita Kiasi. Ripoti imeonesha 45% ya Wanawake wenye kati ya miaka 20-49 wana Viriba Tumbo ikiwa...
  6. Asilimia 75 ya Wanawake wanaofanya Uchunguzi wa Saratani Ocean Road wanakutwa na Ugonjwa

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Kinga wa Taasisi ya ORCI, Dkt. Crisprin Kahesa ambaye amesema, Watanzania wengi wanaogopa na hawapo tayari kupokea majibu ya vipimo vya Saratani jambo ambalo ni hatari - Amesema Wanawake wanaofika katika Taasisi hiyo hufanya uchunguzi wa Saratani ya Matiti...
  7. Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  8. Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

    Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
  9. Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  10. N

    Wanawake wengi maofisini wakitembea na bosi wanajisahau kuhisi ni mabosi wasaidizi

    Habari za mida wakuu, Pasina kupoteza muda, hii ni changamoto kubwa wadada wengi wasiojielewa wakishavuliwa nguo na maboss wao huwa wanajisahau sana inafikia hatua wanajihisi ni maboss wasaidizi dharau inapitiliza ofisini. Utamu unazidi pale anapokuja mdada mpya akapitiwa na yeye na boss...
  11. P

    SoC03 Teknolojia inavyoweza kusaidia kutoa mikopo (ya Halmashauri) kwa vijana, wanawake na walemavu na kuwa na urejeshwaji mzuri

    Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2023/24 imeondoa 10% ya kuwakopesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ambapo wataangalia utaratibu mzuri wa kutoa fedha hizo kama mikopo kwa kuwa kwa sasa walikuwa na changamoto ya utoaji na urejeshwaji wa mikopo hiyo. Nimeona ni vyema niandike kitu ili...
  12. Mbunge Kainja ajikita kuwainua Wanawake kiuchumi mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA ATOA MILIONI 81 KWA WANAWAKE (UWT) KUWAWEZESHA KIUCHUMI KATIKA MKOA WA TABORA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ametoa fedha kiasi cha Shilingi Millioni 81 kwa Kata 206 za Mkoa wa Tabora yenye lengo la kuwawezesha wanawake wa Jumuiya ya...
  13. Hii Imeenda: Aliyeua kwa upanga ameuawa kwa bunduki

    Wakuu hii tuiitaje hii? Dada kamchokoza msela kaleta dharau kageuziwa msala
  14. Milioni 29 Zatolewa na Mbunge wa Viti Maalum Katavi Kuwainua Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023 ameanza ziara rasmi kutembelea Kata zote za Mkoa wa Katavi na kuzungumza na wananchi. Katika ziara...
  15. Nitafunga na kuwaombea wenzetu waliooa wanawake wafuatao

    Tayari nimeshafanya maamuzi. Lazima nifanye maombi maalum kwa wenzetu waliooa wanawake kutoka kwenye makundi yafuatayo; 1. Wanawake ambao ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hasa CCM na CHADEMA. Ambao hawapitwi na matukio ya chama ya ndani na nje ya mkoa wake. 2. Wanawake wote wenye...
  16. Hebu pata hii picha na uone mambo yanayowapata Wanawake wa leo

    Ni kijana msomi au sio msomi ila anajitambua kila nyanja. Ana kipato kizuri, ni God fearing Person, anajua kukaa na jamii yake na kujishusha pale ikibidi. Mpole na ana upendo wa kweli, sio mtu wa wanawake ila ni monogamist, ana uwezo kuhudumia vizuri familia yake na mke kwa kile alichojaliwa...
  17. Wanawake wenye tabia za kiume wanakera sana

    Ukweli usemwe tu kuna wadada wa ajabu sana. Wengine sura zao zimekomaa kama za madume kulegea hawataki. Unaeza kuwa nae chumbani mpaka ukashtuka yani wanakaza sana kama sisi madume anakaa kama dume ule utamu wa mwanamke haupo kabisa na wanafanya mapenzi kama hawataki yani hawataki kujishusha kwa...
  18. Kwanini wanawake wa kiafrika hawataki kuwa matajiri, ila wanataka haki sawa?

    KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI?? Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini Afrika ni vigumu sana kumkuta mwanamke ni tajiri? Ama kukutana na mwanamke mwenye...
  19. Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi. Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye...
  20. Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…