wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake aisee, dah!!!

    80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao. Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2. Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao. Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo...
  2. Tahadhari: Wanaume walioa wanawake micharuko wote wameishia kufa maskini wa kutupwa

    Hello, Nichukue fursa hii kuwaasa waluojipumbaza kwa kushabikia kuoa na ndoa, kama mnapenda sana kuoa basi chunga sana wanaume wanaoingia mkenge Kwa kuoa wanawake micharuko wengi wameishia kufa maskini wa kutupwa. Epuka kuisha kama ngedere na ukazeeka na kufa maskini kataaa uzombi wekeza...
  3. Ndoa za wanawake walofundwa unyago na kafundika hazivunjiki

    Hello, Maua mengi kwa wanawake walofundwa unyago Mungu awabariki, maana mnaishi ndoa zenu kama mko peponi, ni nadra sana ndoa za hawa wanawake kuvunjika. Malaika wa mbinguni aendelee kuwabariki sana. Hawa wanawake hata akiwa mchepuko wako hawana ujinga wa kuwasema vibaya waume zao. Na hata...
  4. B

    Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na...
  5. Citizen: Shisha na 'e-ciggarates' zinasababisha upungufu nguvu za kiume & changammoto ya uzazi kwa wanawake

    Uvutaji wa shisha umekuwa kawaida nchini siku za karibuni na kukua kiasi kwamba wengine wameamua kuwa na shisha majumbani mwao. Pia siku hizi kuna sigara za kielektroniki, inatumia battery na inaunguza kimiminika kinachojumuisha nikotin, flavours na uraibu mwingine kuwa moshi ili mtu kuweza...
  6. B

    Ukweli ni mchungu na asiyeubali ni mtumwa wa fikira. Wanawake na Wanaume hili mnalijua?

    Kwanza kabisa niwape pole wale wanaopitia changamoto za mahusiano. Poleni sana Ila wakati mwingine poleni kwa kujitakia. Tatizo watu wengi hutengeza tatizo na baadaye mnakimbilia JF kuomba huruma. Leo tuambizane ukweli ulio mchungu, wanawake 90% hawateswi na waume zao bali wanatengeneza...
  7. Somo kwa wanawake: Usimuwekee limbwata mwanaume asiye kupenda

    Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini. Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote. Kama ni...
  8. Wanawake wanavyocheza mziki kwa kubinua makalio ni mitego kwa wanaume?

    Salama waungwana, Niwaulize kwa uchache tu hivi huu ubinuaji wa maprosoo a.k.a makalio Kwa wanawake wakati wakicheza miziki nyakati hizi za ndebendebe na amapiano ni kwamba wanakuwa na stimu mbinuko kwenye hayo maeneo au dhamira ni uchokozi wa kupandisha stimu za ngono kwa wanaume. Hii kero ni...
  9. Kwanini wanawake wana vichwa vyepesi kwenye pombe, wanalewa haraka sana na huwa na nguvu ndogo sana ya kujitambua tofauti na wanaume

    Kwa kweli nimeshajionea wanawake wengi kwenye pombe ni ngumu hata kuwa wanywaji, pombe kidogo tu unakuta tayari ishampanda kichwani kakolea. Wanawake pombe zikipanda ile nguvu ya maamuzi huwa inapungua sana kuzidi hata wanaume ambao angalau wanaweza kujihandle kimtindo. Na mfano mzuri ni hata...
  10. Wanawake wanaowahi kuchoka ni wale wasiotunzwa na kujitunza

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili. Ipo kasumba ya kuwa Wanawake wanawahi kuzeeka au kuchoka. Jambo ambalo sio Kweli. Kasumba hiyo imewafanya...
  11. Mila ya ‘kumaliza msiba’ inavyowatesa wanawake Mara

    WATANI ZANGU SOMENI SHULE KAMA SISI KUONDOA MILA HIZI POTOFU Mila ya ‘kumaliza msiba’ ni miongoni mwa mila kandamizi zinazoendelea katika baadhi ya makabila mkoani Mara inayotweza utu wa mwanamke anayetakiwa kujamiiana na mwanaume yeyote pindi anapofiwa na mumewe kwa madai ya kujisafisha...
  12. Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo. Amewataka viongozi wa dini...
  13. Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  14. Hamna watu wanaojua kuandika meseji za kuchoma kama wanawake wakikupiga kibuti

    Nikukumbuka meseji nilizowahi kutumiwa kama mtu ana moyo mwepesi anaweza kuchukua maamuzi ya ovyo. Wana maneno makali sana hawa viumbe kwa kweli. Alafu wanachotaka ni uwajibu chochote, ukitaka uchukue points 3 wala usijieleze sama, jibu tu OK.
  15. Eti wanawake hii mtakubali

    Na rafiki yangu, kapata mume wa ndoa anahela sana tu ila hataki mke wake atoke home, awe na biashara yeyote . Anataka tu awe home. Hela yeyote anampa akitaka muda wowote anapelekwa atakapo kama kurelax sehemu mbali mbali. Ila sio biashara . Je nyie mtakubali??? Usiwe hata na muda wakuwa na...
  16. Wanawake wa leo ni majasiri

    Nimekuwa ni mtu mwema sana kwa mke wangu na matokeo yake ni kama nimekuwa ni kero kwa wasichana /wanawake wengi. Wengi unawaambia nimeoa wanaheshimu mahusiano yaani hakuna wa kunisumbia ikifika muda wakazi kuisha, lakini niseme tu wanawake wa sasa ni majasiri,just imagine unakutana na jirani...
  17. K

    Wanawake mnaopenda kuwapiga picha waume zenu muwapo faragha, uwa mnazipeleke wapi au mnazifanyia nini

    Niaje mabibi na mabwana Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke. Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya...
  18. Kwanini wanawake ndiyo husumbuliwa zaidi na meno kuuma au kutoboka?

    Pamoja na kuwa hii gender ipo vizuri kwenye maswala ya usafi wa mwili na mazingira kwa ujumla,kwanini hasa wanakuwa wanapatwa na tatizo hili? Wataalamu naombeni majibu,toka nimekuwa na ufahamu na kuishi kwenye jamii mbali mbali ambazo nimebahatika kuishi nimekuwa nikiona wanawake wanapatwa na...
  19. Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

    Hellow Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe...
  20. Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…