Wanawake aisee, dah!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,916
80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.

Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.

Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.

Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.

Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.

Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.

Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!😁😁😁

ASILI KWANZA!!!!!
 
Ngumu kumeza 🙂🙂
Screenshot_20230909-022247~2.png
 
Ujaonyesha maokoto yako vizuri..........atachukua sekunde 2 tu kusema ndio nakupenda na papa ukapewa bureeee
...kutamka hivyo kwa muda huo mchache ndiko kumaanisha ?!!!

Anaweza akatoa bure kwa sababu anahitaji tu na si penzi la kweli...ama ana mkakati...
 
80% ya Wanawake hutumia Ukimya kuonesha Maumivu yao.

Mwanamke huchukua siku 15 kumpenda mtu lakini Mwanaume humchukua...Sekunde 8.2.

Wanawake huchukua muda mrefu kufanya maamuzi, na wakisha amua hushikilia msimamo wao.

Wanawake ni rahisi sana kupata msongo wa mawazo linapotokea tatizo, kwasababu hujilaumu sana kutokana na tatizo hilo.

Wanawake hupata ndoto zaidi usingizini kuliko Wanaume.

Uwezo wa mwanamke kutunza siri ni masaa 47. Baada ya muda huo atamsimulia mtu hiyo siri.

Ubongo wa Mwanaume ni mkubwa kwa asilimia 10 zaidi ya ubongo wa Mwanamke. Lakini Ubongo wa mwanamke hufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Ni asilimia 2 tu ya Wanawake hujikubali wao ni wazuri, ila 98 asilimia wanakataa. Mfano mwambie mwanamke we Mzuri utasikia Mimi mbona nipo Kawaida tu! Ukimwambia wewe wa kawaida tu anakununia!😁😁😁

ASILI KWANZA!!!!!
Jamii Forum Usiku wa Manane!
 
Back
Top Bottom