Kwanini wanawake wana vichwa vyepesi kwenye pombe, wanalewa haraka sana na huwa na nguvu ndogo sana ya kujitambua tofauti na wanaume

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Kwa kweli nimeshajionea wanawake wengi kwenye pombe ni ngumu hata kuwa wanywaji, pombe kidogo tu unakuta tayari ishampanda kichwani kakolea.

Wanawake pombe zikipanda ile nguvu ya maamuzi huwa inapungua sana kuzidi hata wanaume ambao angalau wanaweza kujihandle kimtindo.

Na mfano mzuri ni hata kwenye hizi sherehe za harusi za vibia vya kuhesabika, ikifika muda wa kucheza watajiachia vibaya mno kama vile baikoko, nadhani wengi huwa tunaziona video hizi kwenye kurasa za ma mcee, ila wanaume utaona wapo hali za kawaida tu ngumu hata kujua wamelewa.

Ni kwanini wanawake wana vichwa vyepesi?
 
Hujakutana na wanawake walevi wewe!

Kuna dada mmoja nilikutana naye Arusha alikuwa na uwezo wa kupiga kreti tatu za bia peke yake na hazimfanyi kitu, zile Kvant kubwa anapiga tatu mpaka nne peke yake
 
Hujakutana na wanawake walevi wewe!
Kuna dada mmoja nilikutana naye Arusha alikuwa na uwezo wa kupiga kreti tatu za bia peke yake na hazimfanyi kitu, zile Kvant kubwa anapiga tatu mpaka nne peke yake
Huyo tayari ni kama Teja sasa, sugu zishaota hata kwenye kibofu na maini
 
Back
Top Bottom