Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,148
Hellow
Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti
Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe kisa wanamuonea wivu ashatafuta na mganga na mganga kawaagua kawapa dawa ya kumfanya wanaume waliopo nao kwenye mahusihano wanawaoa tena this year
Hili limetokea baada ya siku mmoja kuulizia ndoa ya mtoto wa Dr fulani ambaye ni ndugu wa familia ambaye yeye amehozesha watoto wake wote na huyu ndio wa mwisho ambaye ndoa yake ilitakiwa ufungwe mwezi uhuu wanane ndipo mama huyo akaongea huyo karoga watoto wa wenzie wotee wasiolewe waolewe wake tu
Kitu kinachonipa wasiwasi ni kuwa na yeye Mpaka kaolewa kwenye familia yetu je aliroga?
Swali lipo hivi kuna mahusihano gani ya kuolewa na kuroga? Naomba mtujibu hapa