Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,354
Na rafiki yangu, kapata mume wa ndoa anahela sana tu ila hataki mke wake atoke home, awe na biashara yeyote . Anataka tu awe home.
Hela yeyote anampa akitaka muda wowote anapelekwa atakapo kama kurelax sehemu mbali mbali. Ila sio biashara .
Je nyie mtakubali???
Usiwe hata na muda wakuwa na mashosti, wala kuwa na lolote kimaisha . Maana kama huna hazina yeyote simbaya .