Somo kwa wanawake: Usimuwekee limbwata mwanaume asiye kupenda

Smart Contract

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
1,016
2,406
Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini.

Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote.

Kama ni mlevi, ataendelea kupenda pombe. Kama malaya atacheat zaidi ya kile ulikuwa unadefend.

Ushauri wangu ni hivi mpe limbwata mtu ambaye anakupenda tayari, usiforce utajiumiza hamna limbwata ya hivo.

Kwa mfano mi akanfanyia michezo yote afu nmemshtukia, lakini mwisho wa siku sikumpenda yeye nkapenda pombe, kwa tabia zake nkamfukuza aende kwao.

Mi nikabaki mlevi kwa sababu bora pengo kuliko jino linalouma. Sikumpenda ila kantegeshea mimba, by nature mi napenda watoto sijui alilisoma hilo, lakini sikumpenda mi nagharamia mtoto, ila malimbwata yalinifanya nikawa mlevi mbwa kiasi kwamba some time mtoto hapati mahitaji.

Usimpe limbwata mtu asiyekupenda haifanyi kazi ng'oo. Utaishia kujuta tu.
 
Kabisaa ila kuna watu hawatakuelewa.Wanadhani upendo wa kweli unaletwa na libwata. Zuri lkn likija kufubaaaa hautaacha kuona kila rangi.
.Nina rafiki angu alikuwa kwenye mahusiano na mtu wake walioendana sana waliendana na kufanana tabia. Bahati mbaya tu walikuwa wanaishi mbalimbali. Kilichokuja kutokea mwanaume akaanzisha mahusiano na aliyeanzisha naye alikuwa anajua fika huyu bwana ana mtu na anampenda sanaa. Alichofanya akampa limbwata ili aharibu mahusiano,,,kweli wakawa wanagombana lkn hawaachani . Bi dada akaona hapa bora nibebe ujauzito kubeba akaanza kumtafuta mwanamke mwenzake anamtambia oooh mimi nina mtoto wake mara nimemuweka kiganjani.

Mwenzake alichokuwa anamjibu kama mwanaume anakupenda mwambie anipigie simu aniambie niachane naye tofauti na hapo hizo kelele zako unajisumbua bure.
Licha ya yote yule dada na huyo mwanaume wameoana wanapendana kuliko maelezo.

Yule dada amebaki single maza anajilaumu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom