Ndoa za wanawake walofundwa unyago na kafundika hazivunjiki

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello,

Maua mengi kwa wanawake walofundwa unyago Mungu awabariki, maana mnaishi ndoa zenu kama mko peponi, ni nadra sana ndoa za hawa wanawake kuvunjika.

Malaika wa mbinguni aendelee kuwabariki sana. Hawa wanawake hata akiwa mchepuko wako hawana ujinga wa kuwasema vibaya waume zao. Na hata wakichepuka hawana nyodo kwa mahusbands wao.

Kudos nyie wanawake mlofundwa na kufundika.💞💞💞

🙏🙏🙏

Wadiz
 
Jamani hawa wanawake walofundwa hakika ni kama malaika wanajua shoo wanajipanga na hawana swagger za kuwadiss waume zao, akija maskani ni shoo kali kali tu anakuwa kajianda kila kitu mpaka nauli.
 
Hello,

Maua mengi kwa wanawake walofundwa unyago Mungu awabariki, maana mnaishi ndoa zenu kama mko peponi, ni nadra sana ndoa za hawa wanawake kuvunjika.

Malaika wa mbinguni aendelee kuwabariki sana. Hawa wanawake hata akiwa mchepuko wako hawana ujinga wa kuwasema vibaya waume zao. Na hata wakichepuka hawana nyodo kwa mahusbands wao.

Kudos nyie wanawake mlofundwa na kufundika.💞💞💞

🙏🙏🙏

Wadiz
Kafundwa halafu anachepuka tena...?
 
uandishi wako umekuwa wa kimtego mtego tofauti na tulivyokuzoea.

Kama ulikuwa na azma ya kuhama kambi na hujajaribu bado nakushauri usijaribu. Hatutaki kuishia kuona connection yako kama ya Afande Rama. Itakuwa fedheha kubwa na kicheko wa ma ticha wenzio.
Duuuh!!!!!! Mjomba nakuheshimu sana
 
Hello,

Maua mengi kwa wanawake walofundwa unyago Mungu awabariki, maana mnaishi ndoa zenu kama mko peponi, ni nadra sana ndoa za hawa wanawake kuvunjika.

Malaika wa mbinguni aendelee kuwabariki sana. Hawa wanawake hata akiwa mchepuko wako hawana ujinga wa kuwasema vibaya waume zao. Na hata wakichepuka hawana nyodo kwa mahusbands wao.

Kudos nyie wanawake mlofundwa na kufundika.💞💞💞

🙏🙏🙏

Wadiz
Doh nilidhani utazungumzia ndoa kumbe kwenye uzinzi
 
Back
Top Bottom