NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,278 Reaction score 24,079 Apr 17, 2020 #2 Shida nini kama wanaona maumivu yanazidi si wachukue maji ya moto wazikande. Sent using Jamii Forums mobile app
Shida nini kama wanaona maumivu yanazidi si wachukue maji ya moto wazikande. Sent using Jamii Forums mobile app
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,978 Reaction score 17,076 Apr 17, 2020 #3 Hahahahha sasa washukuru michepuko iliyokua inabalance equation... Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha sasa washukuru michepuko iliyokua inabalance equation... Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,052 Apr 17, 2020 #4 Huo Mfucko ni wa aina gani hawajauzoea tangu waishi na hao jamaa sao.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,591 Reaction score 89,257 Apr 17, 2020 #5 😂😂 Huku bongo ndo wasiombee kabisa maana Alkasusu itapanda Bei.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,358 Reaction score 13,463 Apr 17, 2020 #6 Hapo ndio wawaheshimu michepuko,maana huwa inawasaidia sana
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,959 Reaction score 3,476 Apr 17, 2020 #7 Kuna uzi humu,.kuwa michepuko na machangu wanasaidia kulinda ndoa. Wanaume ni polygamists by nature,
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Apr 17, 2020 #8 Doh! Sent using Jamii Forums mobile app
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 11,174 Reaction score 20,423 Apr 18, 2020 #9 Haaa Haaa
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,076 Reaction score 13,953 Apr 18, 2020 #10 Sasa fikiria umo ndani wiki ya 1,2,3 na kuendelea; utawaza nini zaidi ya kula na kupiga shows!!!!! Wavumilie tu, hakuna namna. Maana walio single nao watakuwa na ugwadu balaa! Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa fikiria umo ndani wiki ya 1,2,3 na kuendelea; utawaza nini zaidi ya kula na kupiga shows!!!!! Wavumilie tu, hakuna namna. Maana walio single nao watakuwa na ugwadu balaa! Sent using Jamii Forums mobile app