Hivi mbona wanawake siwaelewi?

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Hivi mbona wanawake siwaelewi?

Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent.

Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na kuondoka.

Wakuu nataka kurusha ndoano lakini simuelewi kabisa huyu dada
 
Two things
1) She is not that into u
2) Anataka kama unahitaji mzigo basi uubebe moja kwa moja. Yani wengine watakula kimasihara, ila wewe utakula kwa jasho.

USHaURI : Komaa na nia yako, but huyo ni wa kimasihara zaidi
 
Hivi mbona wanawake siwaelewi?

Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent.

Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na kuondoka.

Wakuu nataka kurusha ndoano lakini simuelewi kabisa huyu dada
Halafu acha kututumia walokole kwenye mambo ya kipuuzi
 
Mtoe out ya mbali kidogo itakayokulazimu kulala,huko ndio umalize kila kitu
 
muite ghetto mwambie unataka kuchunguza papuchi yake kama ina corona.
 
Back
Top Bottom