Maisha yalikua hayahitaji Mambo mengi Kama Sasa hv, leo mkeo anaweza kukuliza kisa jirani ana ndinga wewe unaminyana na konda asubuhi kwenda job.
Akipewa lift mara kadhaa na Kama jirani hana wema na wewe Basi stori utaikuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, zamani inshu kubwa ilikua ale alale umnunulie vitu vidogovidogo bac hakuna Mambo mengi Kama Sasa ya kua na nyumba Kali na ndinga ya maana mkuu.
Unyagoni nao kule walikua wanapewa pindi atari wakitoka wanajua kua kazi kubwa Ni kuhudumia mume na sio kingine, ukiongeza na FGM alikua mkombozi kweli maana walikua wanaishi Kama hawapo tu wanaona mume akiridhika ndio basi, lakini now days wakitembea vikisuguana na pichu tu alafu huduma yako ikiwa zero umeisha lazima atakua punda wa mtaa Kila mtu anampanda.