Confidence stratergies kwa wanawake wanaotaka kugombea ubunge/urais kwa vyama vya upinzani

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

i guess awamu hii tumeshuhudia wanasiasa wengi wakihamia CCM,

Hii ime create atmosphere fulani ya confusion,..

i mean..

Kwa wanasiasa wa upinzani,.....

wa zamani kutokujua hatma yao,

na wanasiasa wapya, kuwa na uoga wa ku contest against CCM,

Sasa nimeandika hii topic tushauriane confidence stratergies kuwapa wanawake wa upinzani confidence kugombea cheo chochote...

Yes wanawake upinzani sababu wao wako underrepresented kwenye serikali

opposite na hapo, ni wanawake na wanaume wote ni CCM kuwa ndio serikali kuu...

Madhara yake ni kuwa na serikali inayojiamulia chochote...

We need conflicting views ndani bunge...

Kama tunahitaji conflicting views ndani ya bunge, ambayo itaichagiza serikali kuwa at best

then,

we must accept people from different backgrounds than CCM...Chadema, ACT etc...

viongozi wa vyama vya upinzani, jaribuni ku identify mtu potential....ambae unaona atakua ama tayari yuko influential,then mu identify wapi mwanamke huyu anakwama, confidence issues?? presentation skills etc..then mumcoach…..

Nyingine tujazilizie wana JF
 
Kama unagombea ubunge nakutakia kila lanheri .nakumbuka Kuna siku uliwahi sema. .!
Jiamini utafika unapotaka!
Much lov
 
Mnhh wewe huoni hatari Zaidi kama bunge lote litakua CCM?
Wala hakuna hatari
Hao CCM wana kawaida ya kujitoa ufahamu ukishindana nao..wakati hatari inawahusu na wao..
Dawa ni kuwaacha wajazane humo halafu uone
Kama wanafikiri hatari haitawagusa..
Let them have it their way halafu wakati wanalia ndo watajifunza
 
Hapana mkuu,
if we want a change, then it should be now, hatuwezi tukawapa nafasi kwa miaka mingine kumi tu ..kibure bure eti tusubiri tuone impact yake...no, hatuwezi kuweka Maisha yetu pending first, and second hata watoto wetu/vizazi vijacho watatulaumu kuipeleka nchi sehemu mbaya..we need to act, and it should be now,tunahitaji equal representation huko...yaani mimi I can not picture bunge lote kuwa CCM,sasa watakua wana discuss nini huko bungeni? mwendo kasi au???LOL
 
Kama Tume ya uchaguzi imeshaagizwa Nani ashinde why tutumie nguvu kubwa sana kuleta haki?

Dawa ni kuwaacha Tu wafanye wanachotaka
Wahenga walisema 'ubaya hauna kwao'..
Wakibaki wenyewe watafanyiana ubaya wenyewe watajifunza
 
Back
Top Bottom