Mwanaume ni msimamizi wa Mwanamke

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
1. Allah alivyotuweka wazi kuwa WANAUME NI WASIMAMIZI WA WANAWAKE. Si tu aliwapa ukichwa tu mjimwambafy. Ni kwamba mtakuja kuulizwa juu ya usimamizi wenu. MAANA YAKE MWANAMKE AKIYUMBA TU UJUE MWAUME ULIYUMBA KWENYE USIMAMIZI WAKO KABLA YA KUYUMBA MWANAMKE.

Ukiona mwanamke ameharibikiwa ujue CHANZO NI MWANAUME ALIYE NYUMA YAKE either awe Baba, kaka au Mume. Hakutekeleza wajibu wake vizuri kama mwanaume kusimamia.

Wanaume tumebaki na majukumu ya vitabuni tu tusiyoyafanyia kazi. SISI NI KICHWA! SISI NI KICHWA! Lakini hatukitumii hiko kichwa ipasavyo.

2. Na vilevile alivyobainisha Allah mwanamke ni Dhaifu, basi alimaanisha HANDLE IT WITH EXCEPTIONAL CARE.

Maana yake haikumaanishwa adharauliwe au anyanyaswe au adhulumiwe kwa sababu ya UDHAIFU wake...

Ila Allah alimaanisha WATENDEWE UADILIFU NA TUFANYE NAO MASUALA KWA UPOLE NA TUWASHIKILIE KWA UANGALIFU KAMA YAI. Usipokuwa makini kwenye ushikiliaji wa yai lako utalidondosha na kulivunja tu.

Mfano:- Mtu akikaribisha upande gari lake atakwambia labda mlango wangu mbovu huo basi kuwa makini usije ukafanya tukatembea bila mlango.

Nahitimisha hivi:-

UKIONA MWANAMKE YEYOTE AMETENGEMAA KIMWENENDO NA KIMAQDILI BASI UJUE KUNA MWANAUME NYUMA AMEPLAY PART YAKE IPASAVYO IWE BABA, KAKA AU MUME.

Ukiona Mwanamke kaharibikiwa ujue na kwa mwanaume kuliharibika kabla.

Na its a circle... Akitengemaa mama au akiharibika mama, basi matokeo yanakuwa VICE VERSA IS NOT TRUE kwa watoto(kiume au wa kike) . ..

LAKINI WENGI WETU HATUJUI. ..
 
Naunga mkono.wanaume ndo chanzo cha ujinga mwingi wanaoufanya wanawake.Tatizo ni kwamba tunapowaharibu hatukumbuki au hatujali ila tunakuja kuwalaumu badae.
 
Back
Top Bottom