Wanawake wa Bunda wamchukulia fomu ya kugombea Ubunge Ester Bulaya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,558
217,851
FB_IMG_1594302023382.jpg
FB_IMG_1594302034651.jpg
FB_IMG_1594302042041.jpg
FB_IMG_1594302047449.jpg
 
Msemaj wa chadema...naskia wew ndo unashugulikia platforms zote za social media...hahhaha

Chadema wana kazi kubwa sana kutoboa..na kiukwel kwa mtazamo naouona..sjui kama hata kuna kiti ki1 kitaenda upinzan....nisema tuu ukwel
 
Wewe ukiwa Kama Nani!?
 
Wanawake ndo kila kitu nawapenda wanawake wote wanaojitambua kutoka chadema na policcm.
 
Uwezo wako wa kufikiri unatia SHAKA, umetawaliwa na SHETANI.
Wahitaji kuongozwa kwenye sala ya TOBA.
UTUBU umkatae shtani na mambo yake yote.
Mungu wetu ni mwema atakusamehe na kukufanya uwe mtu mpya. AMEN

Apart from this...arudi kujifunza general knowledge
 
Hii style ya kuwapa pesa wa mama. Halafu wanakwenda kuchukua form ili jamii ione eti unakubalika. Too low .
 
Msemaj wa chadema...naskia wew ndo unashugulikia platforms zote za social media...hahhaha

Chadema wana kazi kubwa sana kutoboa..na kiukwel kwa mtazamo naouona..sjui kama hata kuna kiti ki1 kitaenda upinzan....nisema tuu ukwel
Hivi Bungeni kukiwa na CCM peke yao,mantiki ya Vyama vingi tuliyoisoma shuleni itakuwa na maana gani tena?.
 
Back
Top Bottom