Unafikiria nini kuhusu Wanawake wa JamiiForums?

osmaney

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
927
1,000
Habari za mda huu wanaJf

Poleni na majukumu (kwa wale wataftaji)
Hongera kwao pia. MUNGU awajalie katika utaftaji wenu (kwa wale wafanyao shughuli halali)

Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.. kwa kuanza na Mimi nafikiria kwamba

1. Wapole

2. Wanaakili za maisha

3. Wengi wao ni umri (25_35)

4. Wengi wameolewa

5. Sio wambea kivile

6. Hawatongozwi kiraisi😂

7. Wengi wa dar es salaam

8. Huwai kupika mapemaa

9. Warembo kinoma

10. Walezi wazuri wa familia

11. Hawapendi hela kivile😂

12. Upendo wa dhati

13. Aaaaa ongezea na wewe uwafikiriavyo👇👇
 

Miss_Irene

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
306
500
Kuna mdogo wetu mmoja kaja anaitwa KichwaBOGA kachafua hali ya hewa,

Ila mfano mie nakuwa najiachia sana kufanya kitu chochote JF coz hakuna anaenifahamu kiundani, kuna mada nachangia humu wakati ki uhalisia siwezi kufanya kazini, mtaani na nyumbani pia

Huwezi kumjua mtu kwa mwandiko wake, kuna wengine wastaarabu sana sana ila humu wanaonekana wababaishaji!!!!!!
 

Dolla_Mbili

JF-Expert Member
May 28, 2017
355
1,000
Wanawake mkuu sio wenzetu ila tunaishi nao tu!......ukipata ambaye anajielewa unaweza kuifanya dunia kua sehemu ya starehe/peponi kabisa.

Ila balaa huja Kama ukipata lijanake tu Bora mwanamke duuh aisee dunia inaweza kua kuzimu ndogo na ukatamani hata usingekuwepo.

Katika yote hao ndio wazazi akina baba Ni walezi hivyo tushukuru kua tupo leo because of our mothers!
 

osmaney

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
927
1,000
Kuna mdogo wetu mmoja kaja anaitwa KichwaBOGA kachadua hali ya hewa,

Ila mfano mie nakuwa najiachia sana kufanya kitu chochote JF coz hakuna anaenifahamu kiundani, kuna mada nachangia humu wakati ki uhalisia siwezi kufanya kazini, mtaani na nyumbani pia

Huwezi kumjua mtu kwa mwandiko wake, kuna wengine wastaarabu sana sana ila humu wanaonekana wababaishaji!!!!!!
Tumpe mda kidogo. Huenda ata kupitia kwa baadhi ya wanaJamiiForums atabadilika na kua mtu poa. Kigezo cha kutojuana kisifanye tutukane watu nk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom