Mambo matatu yanayotupunguzia points kwa wanawake

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,647
1. Ukiwa mfupi halafu mweusi halafu una kitambi.kwa utafiti niliofanya nimegundua mademu hawawazimikii wanaume wafupi.yaani hisia zinakuwa ziko mbali

2. Ukiwa na watoto kuanzia wawili.kama ulimdanganya huna watoto basi akijua tu mapenzi yanapungua

3. Ukiwa huna hela afu unalilia uonewe huruma.mwanamke akijua huna maisha huwezi kumsaidia pesa wala kazi anakuchenga anakukataa hata ukijionyesha unampenda kwa dhati ni kazi bure
 
Moja na mbili hizo zina vumilika ikiwa hiyo namba 3 upo vizuri.

We tafuta hela tu,vingine vinavumilika.Laizer yule ana wake 4 watoto 30,kesho akitongoza mwanamke mwengine hana ubavu wa kumchomolea.
 
Back
Top Bottom