Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa kike akati chat ni kama ya mtu na mpenziwe.

Nilimuuliza huyu nani, akajibu Aisha, nikamwambia rafikio ndo mnachat kama wapenzi? Akanambia kama unashaka mpigie, nikapga nikaongea naye ndo ananambia washazoea kuchat hivyo angalau nikapata amani but nimemwambia huu upuuzi uishie leo maana mapigo ya mbio yalikua yashaanza kwenda moyo.

Aise wanawake tabia zingine hizi hazifai kwa ustawi wa ndoa na mahusiano yenu.
 
Wanawake ni homosexual by nature.

Mwanamke anaweza kumuita mwanamke mwenzie baby, mpenzi, akamkumbatia na kumshika makalio, akamshika nyonyo, akambusu na kila aina ya matendo ya kimapenzi na hakuna tatizo lolote.

Mboga zinawezwa kuchanganywa na kupikwa pamoja, nyama na mchicha, nyama na mlemda ama bamia na kadhalika na hakuna shida yoyote.

Unatakiwa uwafahamu wanawake walivyo.
 
Back
Top Bottom