Wanawake wa Kusini wanaokunywa gongo hawajadhoofika

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,074
42,849
Wakuu, maisha ya Kijijini na mjini kweli ni tofauti kuanzia lifestyle mpaka nguvu za mwili. Nipo huku Kanda ya Kusini pombe kuu ni mnazi au tembo kwa wale wa mwambao na pia gongo au pacho inayotengenezwa kwa Mabibo.

Kinachonishangaza ni jinsi wakina mama wa masasi wanavyokunywa gongo aisee ukiwaiga unakufa dakika sifuri gongo huku lita moja jero tu.

Sasa wakina mama wa huku wanakunywa gongo balaa katika shughuli za unyago karibu kila siku ila kazi wanazopiga utashangaa mwana mama Ana uwezo wa kwenda shamba kuchota maji dumu sita na baiskel na hapo kashakunywa gongo na wana afya nzuri tu na wanakula kawaida na kazi nyingi wanapiga kuliko wanaume.
 
Mkuu Ndege john....mi nilikaa huko Lindi kuna sehemu inaitwa ng'ong'o (nane nane) yote unayosema nmeyashuhudia maana nilikuwa member wao pia kwenye vilinge vyao aice kuna gongo moja inaitwa NIPA ile ni balaaa wanapima buku tena kidogo tu ukiimaliza na kuongeza lazma muuzaji ashangae na wamama wakule wanainywa sana ajabu haiwazeeshi na wanapiga kazi za maendeleo safi kabisa.
 
Sasa wakina mama wa huku wanakunywa gongo balaa katika shughuli za unyago karibu kila siku ila kazi wanazopiga utashangaa mwana mama Ana uwezo wa kwenda shamba kuchota maji dumu sita na baiskel na hapo kashakunywa gongo na wana afya nzuri tu na wanakula kawaida na kazi nyingi wanapiga kuliko wanaume.
 
Wakuu, maisha ya Kijijini na mjini kweli ni tofauti kuanzia lifestyle mpaka nguvu za mwili. Nipo huku Kanda ya Kusini pombe kuu ni mnazi au tembo kwa wale wa mwambao na pia gongo au pacho inayotengenezwa kwa Mabibo.

Kinachonishangaza ni jinsi wakina mama wa masasi wanavyokunywa gongo aisee ukiwaiga unakufa dakika sifuri gongo huku lita moja jero tu.

Sasa wakina mama wa huku wanakunywa gongo balaa katika shughuli za unyago karibu kila siku ila kazi wanazopiga utashangaa mwana mama Ana uwezo wa kwenda shamba kuchota maji dumu sita na baiskel na hapo kashakunywa gongo na wana afya nzuri tu na wanakula kawaida na kazi nyingi wanapiga kuliko wanaume.
Inaitwa NIPA ni hatar sana
 
Kitu cha NIPA n balaa,m nipo kusini maeneo ya ndanda asee watu wanapiga hio nipa sio mchezo,binti miaka 15-20 wanapiga gongo hatari.Kuhusu ufanyaji kazi baada ya kulewa hilo sijaliona wengi n wavivu na viburi
Upo Ndanda? Nakuja inbox
 
Inaitwa NIPA sisi waingereza wa kusini tunasema (Never Interfere People's Affairs) hiyo mzee wangu a.k.a Shujaa wangu R.I.P kapika Sana.Na Mimi nimechochea Sana.Hiyo kitu hatari.Ukimwagia nyasi mbichi zinakauka na kupiga Moto muda huo huo.
Inatengenezwaje?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom