Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
2,158
2,000
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
 
Toxic Concotion

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,893
2,000
Pesa yake, nguvu yake sasa wewe inakuuma nini? Kila mtu ana kipaumbele chake kwenye maisha. Kama yeye kipaumbele chake ni wanawake na hamsumbui mtu katika kutimiza kipaumbele chake wewe inakuuma nini dada?

Muache aishi maisha yake, mwisho wa siku akija kujuta hatokuwa na wa kumlaumu zaidi ya yeye mwenyewe.
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,936
2,000
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu.
Mambo ya familia yenu unaletaje humu? Familia yenu haina wazee wa kuongea naye?
 
tony92

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
1,151
2,000
Cha muhimu wewe fwata mambo yako.

Kama unamshauri na afwati ushauri wako wewe endelea na maisha yako.

Mchukulie kama ndugu tu na wala usihangaike na kipato chake, yeye ndo anajua anataka nini na afanye katika maisha yake.
 
green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,872
2,000
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu.
Amewekeza kwenye papa unategemea atafanya maendeleo zaidi ya kupauka na chumvi za chumvini
 
Said Shabani Kondo

Senior Member
Sep 24, 2021
108
225
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu.
Uwo ni wivu tafuta pesa
 
Zabron Hamis

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
4,357
2,000
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.
Umewahi kukaa nae ama kuitisha kikao cha ukoo ili mjue tatizo ni nini ama umeamua kuanzia hapa jf
 
Ngunichile

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
303
500
Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake.

Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja.

Anaishi nyumba ya kupanga.

Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza dhania hana kazi.

Safari zake nyingi anatembea kwa miguu hana usafiri hata pikipiki hana.

Mimi kama dada yake naona hadi aibu kumtambulisha kwamba huyu ndio kaka yangu anafanya kazi shirika fulani.

Naombeni ushauri ndugu zangu nimsaidieje huyu maana anaurudisha ukoo wetu nyuma.

Wacha akule mbususu kwanza, nyumba na magari atanunua tu cos bado anazo nguvu.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
12,759
2,000
Usidanganyike na baraza la humu Huyo kadakwa na Shangingi limeshamchota akili yote Kwa waganga haoni aambiliki, msaidie vile uwezavyo hata apate banda, maana mwishowe ataharibikiwa tu, na atakuja kuwa mzigo wako tu na hutaweza kumkimbia, kama huwezi kwenda Kwa babu mzimue hata Kwa maji ya kuhani Mussa, mashangingi mengi yanawapenda sana wasomi Kwa sababu huwa hawaamini uchawi na ndipo shangingi huzidisha kazi yake ya kukandamiza nguruwe pori, lpia ujue shangingi tayari ameshajengewa mjengo wa maana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom