Kwa Wanawake: Ukipokea pesa kutoka kwa wakala au namba ngeni unafanyaje?

Designated

JF-Expert Member
Jul 17, 2017
422
1,087
Habari wadau wa MMU,

Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na baadhi ya wanawake niliowahi kuwa nao ambao pamoja na kunipiga mizinga, kuwapata walikua wanasumbua kidogo. Mfano mnapanga wikiend hii lakini ikifika anakuja na excuse japo wiki inayofuatia huduma napata ingawa kwa ukakasi (kulalamika kuchoka n.k)

Sasa huyu wa sasa hapigi vizinga mpaka mwenyewe najishtukia, kwa hyo tunapokua na date hata kama sex haihusiki huwa namuachia vijisenti kidgo. Leo nikaamua nimfanyie suprize nikamtumia 50,000 kwa kutumia wakala. Wazo likanijia nisimwambie kwanza mpka aniulize. Toka saa saba mpka saa hii bila bila na sioni dalili. Hebu kina dada nisaidieni, kama upo kwenye serious relationship na ukapokea hela aidha kwa wakala au namba ngeni, huwa unafikiria nini au unachukua hatua gani. Kama ishawahi kutokea sio mbaya kushare experience yako.

Washkaji pia sijawatenga karibuni, mnaweza kuwa na madini. Matajiri wa JF pia sijawasahau uwanja wenu.

Na kuhusu tangazo nishalipia.
 
Habari wadau wa MMU,
Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na
Sasa si nitajua wakala kakosea? Nitasibiri simu ya mtandao husika ili niirudishe kwa mwenyewe
 
Kuhusu wakala ndio msingi wa swali langu, kwamba hawezi kumuuliza aliyetuma.

Haiwezi kuwa na maana kwamba kuna wanaume wengine wanaweza kumtumia, kwa hiyo hana uhakika aulize yupi?
Ni ngumu kujib moja kwa moja ndio ama kusema hapana
Wewe ndio wamjua vyema babemama wako
Kama.ni kweli uwazavyo je utafanya nini??
Lakin pia kama.si kweli utafanya nini??
 
Ni ngumu kujib moja kwa moja ndio ama kusema hapana
Wewe ndio wamjua vyema babemama wako
Kama.ni kweli uwazavyo je utafanya nini??
Lakin pia kama.si kweli utafanya nini??
Kesho nikionana nae ntamuuliza vizuri. Kwa hyo na ww ungepiga kimya?
 
Kuhusu wakala ndio msingi wa swali langu, kwamba hawezi kumuuliza aliyetuma.

Haiwezi kuwa na maana kwamba kuna wanaume wengine wanaweza kumtumia, kwa hiyo hana uhakika aulize yupi?

Acha wivu Mkuu

Kakaa kimya sababu sidhani kama ni wewe peke yako huwa unampa hela, naamini ana ndugu ila pia anaweza kua anawaza labda kuna mtu kakosea.

Halafu usipende kumtega mwenzi wako
 
Back
Top Bottom